Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wacha wee! Siku zote huwa anatulia sema wewe unakuwa ndio hujatulialissu leo kaongea kwa kutulia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee! Siku zote huwa anatulia sema wewe unakuwa ndio hujatulialissu leo kaongea kwa kutulia sana
utakuwa humjui lissu ,leo kapangilia sana vituWacha wee! Siku zote huwa anatulia sema wewe unakuwa ndio hujatulia
Huo ni ukweli 100%Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia.
Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika lakini amezungumzia masuala ya familia yake na viongozi wasaidizi wake. Samia hakuzungumzia masuala ya usalama na uhai wa raia hususan matukio ya utekaji nyara, kesi za kubumba na mauaji ya wakosoajj wake.
Amehitimisha kwa kusema hotuba ya leo ya Lisu imejali maisha na uhai wa Watanzania kuliko hotuba ya Samia hapo jana.
Ninamuunga mkono Tundu Lisu for Presidency akianzia na kupata uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya
Amandla
Tuombe aendelee hivyo hivyoutakuwa humjui lissu ,leo kapangilia sana vitu
Hahahaha ingekuwa balaaSipati picha kama Mtikila angekuwepo akateam up na Lisu
💯Bahati mbaya nchi inajiendea tu kama gari bovu, kama kungekuwa na mifumo ya ku recruit viongozi, Lissu alitakiwa kuna Rais sasa
Chadema wanajivua nguo ndio maana wanapuuzwa!Ameokoka ameachana na roho zenu
Mbona hayo maneno ya Lisu kuwa Raisi Leo na sio oktoba hayapo zaidi ya kuwepo kwenye kichwa cha taarifa ya threadAmeyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia.
Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika lakini amezungumzia masuala ya familia yake na viongozi wasaidizi wake. Samia hakuzungumzia masuala ya usalama na uhai wa raia hususan matukio ya utekaji nyara, kesi za kubumba na mauaji ya wakosoajj wake.
Amehitimisha kwa kusema hotuba ya leo ya Lisu imejali maisha na uhai wa Watanzania kuliko hotuba ya Samia hapo jana.
Ninamuunga mkono Tundu Lisu for Presidency akianzia na kupata uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya
Amandla
Kwanchi sawa lkn sikwa chama kwasababu kuongoza nchi ni kuepesi kwakuwa anamajeshi anaweza kudictate na watu wakatii tofauti na kuwa opposition AMBAPO hekima busara zinaomhoza zaidi
Siqsa za jijinga hizo, jikombowe kifikra na mawazo kwanza.Lisu ni mkombozi
Wewe umeanza ukorofi wakoSiqsa za jijinga hizo, jikombowe kifikra na mawazo kwanza.
Hapa ndipo na mimi simuelewi Slaa, alivyoshangilia Lissu kupigwa risasi. Watu kama Mbowe, Zito, Slaa, Nondo , ni wa kuwaendea kwa hekima kidogo. Akili yangu inawakataa kundi la wapinzani halisi.Upuuzi alipokuwa balozi alisema ni sahihi mtu anayehujumu taifa kupigwa risasi!
Hajawahi kuomba msamaha hadharani kama alivyomkejeli Lissu hadharani tukajua. Labda alimuomba radhi Lissu kimya kimya.Ameokoka ameachana na roho zenu
Duuuuh ila SILAAAAmeyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia.
Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika lakini amezungumzia masuala ya familia yake na viongozi wasaidizi wake. Samia hakuzungumzia masuala ya usalama na uhai wa raia hususan matukio ya utekaji nyara, kesi za kubumba na mauaji ya wakosoajj wake.
Amehitimisha kwa kusema hotuba ya leo ya Lisu imejali maisha na uhai wa Watanzania kuliko hotuba ya Samia hapo jana.
Ninamuunga mkono Tundu Lisu for Presidency akianzia na kupata uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya
Amandla
Kumbe matamshi haya ndio chanzoAmeyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia.
Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika lakini amezungumzia masuala ya familia yake na viongozi wasaidizi wake. Samia hakuzungumzia masuala ya usalama na uhai wa raia hususan matukio ya utekaji nyara, kesi za kubumba na mauaji ya wakosoajj wake.
Amehitimisha kwa kusema hotuba ya leo ya Lisu imejali maisha na uhai wa Watanzania kuliko hotuba ya Samia hapo jana.
Ninamuunga mkono Tundu Lisu for Presidency akianzia na kupata uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya
Amandla
Inabidi afanye hivyo sasa au baadae.Hajawahi kuomba msamaha hadharani kama alivyomkejeli Lissu hadharani tukajua. Labda alimuomba radhi Lissu kimya kimya.