Dkt. Slaa ulisahau nini huko CHADEMA?

Ngoja John mbatizaji na genge lake waje 🤣🤣🤣 maana hawaishi kuimba mapambio humu kila mara kua Slaa ni akili kubwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤾🤾🤾🤾
 
Ngoja nione kama Lisu atasimama Jukwaa Moja na huyu Babu Mihogo.
HOJA ya KATIBA mpya inaunganisha makundi yote.

Mimi Kwa mfano, sipo CDM Wala CCM bt Naungana na yeyote anaetamani kuiona Nchi yetu inapata KATIBA mpya.
 
mnataka kumdunga pia ? chadema siyo mali ya mtu na yoyote anaweza kuingia na kutoka kama kanuni zao zinaruhusu, Slaa akisimama uraisi CCM hii haitoboi hata waibe kura mpaka Mbinguni, lkn kama Slaa tu akisimama wengine wote corrupt!
 
HOJA ya KATIBA mpya inaunganisha makundi yote.

Mimi Kwa mfano, sipo CDM Wala CCM bt Naungana na yeyote anaetamani kuiona Nchi yetu inapata KATIBA mpya.
Anayekataa Katiba Mpya hataki ustawi wa Nchi. Ni wa kuogopwa kwama ukoma.
 
Once Chadema always Chadema. Ile imani ya Chadema ni kama umelogwa vile.

Hata akina Joshua Nasari na akina Waitara ni basi tu wale ni Chadema watupu
Kwani Padri Slaa alikuwa always Chadema?Si alikuwa CCM ndio akajiunga na Chadema baada ya kukosa fursa ya ubunge?Huwezi kumbadilisha fisi tabia.Hata akipigwa mkuki wa tumbo na utumbo ukatambaa chini ataula tu ili ashibe bila kujali athari zitakazofuata.
 
Kwani dr slaa lini alichukua kadi ya ccm na kurudisha kadi ya chadema. Hapa kuna mchezo, lakini muhimu slaa anaweza arudi CDM wakati wowote na hata mabinti watarudi hizo ndizo dalili "politics is a dirty game".
 
Kwani dr slaa lini alichukua kadi ya ccm na kurudisha kadi ya chadema. Hapa kuna mchezo, lakini muhimu slaa anaweza arudi CDM wakati wowote na hata mabinti watarudi hizo ndizo dalili "politics is a dirty game".
Alisha aapa kuitumikia serikali ya CCM, kama balozi.
 
Wewe hujui chochote.
Mpaka miezi michache iliyopita (kabla ya Samia kuruhusu mchakato wa katiba mpya kuanza), bado Dr. Slaa huyo huyo alikuwa busy kuwabeza CHADEMA kuhusu agenda yao ya kudai Katiba mpya. Dr.Slaa alikuwa akisema Katiba mpya sio agenda ya watanzania, ni agenda mfu iliyopitwa na wakati na haina mantiki. Leo hii, nani amuelewe sasa akizungumzia Katiba mpya?

Huyo mzee kwa sasa akae pembeni kwenye siasa, alishapoteza msimamo na mvuto kisiasa.
 
Dai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi... Dr mihogo kasanuka na ww sanuka
 
Kiapo chake kilikua kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sio serikali ya CCM.
 
Kwani imesemwa kwamba kuwa balozi lazima uwe mwanachama wa CCM? Vipi na watumishi wa Serikali?
 
No, KATIBA mpya ni move itokayo ktk Ule mhimili Magu aliouita umejichimbia chini zaidi.

Hawapendezwi na jinsi Nchi inavyoongozwa na familia zile zile miaka nenda Rudi.
Kama hawapendezwi kinachowazuia kuibadilisha hiyo katiba ni nini ?
 
Kama hawapendezwi kinachowazuia kuibadilisha hiyo katiba ni nini ?
Muundo wa muungano na idadi ya Serikali pendekezwa ndo tatz,

Zenji hawakubali iwe 1, na bara wanataka 3, maelekezo ya waasisi ni 2 kuelekea moja.

Tukikosa majibu kuhusu mvutano huo, mchakato waeza yeyuka tukarudi kwenye mkono wa CHUMA.

Bt naamini ktk maridhiano, tukiongea sana, tutaelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…