Dkt. Slaa ulisahau nini huko CHADEMA?

Rasimu ya katiba iliyowasilishwa na Warioba ambayo ni maoni ya wananchi ilishatatua hilo.

Wanaong'ang'ania serikali 2 ni Ccm kwa kulinda maslahi yao.
 
Slaa yupo sahihi ,Mbowe kafanya upuuzi mkubwa 2015 kumpeta lowassa CDM
Ulivyo punga unajisahaulisha kuwa yale yalikuwa maamuzi halali ya chama kupitia kamati kuu na sio ya mtu mmoja kama unavyotaka kuwaaminisha chawa wenzako
 
Huyu Mzee haaminiki tena historia inamuweka kwenye kapu la akina Lipumba na Mrema Cheyo.

Kwa lugha sahihi "Wachumia tumbo".
 
Mpaka uandike matusi ndo unafurahi?
Ulivyo punga unajisahaulisha kuwa yale yalikuwa maamuzi halali ya chama kupitia kamati kuu na sio ya mtu mmoja kama unavyotaka kuwaaminisha chawa wenzako
 
Tumalizie tu kwa kusema kwamba acha kelele za katiba mpya ziwe nyingi na kubwa kutoka kwa watu, vichaa, mbuzi, kuku, ng'ombe hadi tuipate. Matumizi ya majukwaa yanahitaji umakini " like feathers let them flock together!"
 
Unasinama na watu wanaofanya unyama katika kudai katiba mpya? Je hao wanaofanya unyama wameacha? Una uhakika wanataka katiba mpya kwa minajilu ya kuacha au kuendeleza unyama?
Haya ndio mambo ya kuwa gender free au gender liquid.
 

Lakini kama CHADEMA iliweza kumsamehe Lowassa makosa yake na kutaka kumfanya Rais, hata Dr. Slaa anasameheka. Alilamba asali, asali imeisha na wote tunafahamu madhara ya asali.
Kusamehewa ni jambo moja na kupewa nafasi ni jingine....pro na cons zinaangaliwa, hii ni siasa na sio swala la utakatifunna udhambi.
 
Rasimu ya katiba iliyowasilishwa na Warioba ambayo ni maoni ya wananchi ilishatatua hilo.

Wanaong'ang'ania serikali 2 ni Ccm kwa kulinda maslahi yao.

..Mwenyekiti wa Ccm akisema serikali 3 wengine wote wataunga mkono.
 
Slaa hajawahi kurudisha kadi ya Chadema hivyo hakuaga.


JokaKuu Kalamu zitto junior
Kuendelea kumjadili mtu kama huyu ni kumpa sifa zisizomwenea kabisa.

Lakini nisihukumu bila ya kueleza mashaka niliyo nayo juu yake, kuhusu msukumo unaomfanya aonekane kuwa mtu mwenye tabia za ukigeugeu.

Nadhani kuna 'pattern' katika matendo yake inayoonyesha msukumo unaomfanya aonekana kama anavyoonekana kwa jamii wakati huu.

Kuna jambo linalom'tickle'.
 
Kwani dr slaa lini alichukua kadi ya ccm na kurudisha kadi ya chadema. Hapa kuna mchezo, lakini muhimu slaa anaweza arudi CDM wakati wowote na hata mabinti watarudi hizo ndizo dalili "politics is a dirty game".
Politics ni permanent interests.
Asali ikitoweka unararua tu!
 
Mkuu , umeniacha mataa. Hivi mnaotaka Katiba Mpya maana yake kwasasa kuna katiba ya zamani. Je,ni kweli tumewai kua na Katiba ya Taifa au Nchi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…