Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Rasimu ya katiba iliyowasilishwa na Warioba ambayo ni maoni ya wananchi ilishatatua hilo.Muundo wa muungano na idadi ya Serikali pendekezwa ndo tatz,
Zenji hawakubali iwe 1, na bara wanataka 3, maelekezo ya waasisi ni 2 kuelekea moja.
Tukikosa majibu kuhusu mvutano huo, mchakato waeza yeyuka tukarudi kwenye mkono wa CHUMA.
Bt naamini ktk maridhiano, tukiongea sana, tutaelewana.
Wanaong'ang'ania serikali 2 ni Ccm kwa kulinda maslahi yao.