Dkt. Slaa yuko korokoroni kwa kumtetea Lissu, halafu Lissu anasema aliyemleta Lowassa na kuiua Chadema siyo Mbowe ni Dkt. Slaa. Lissu ni next Level

Lissu amegundua kampeni ya kumchafua Mbowe ina buma na anataka kujionyesha kuwa ana uwezo wa kutibu vidonda alivyosababisha mwenyewe. Ndio maana akasema pia kuwa atalinda heshima ya Mbowe!

Amandla...
Ukikaa madarakani muda mrefu Heshima ni lazima ishuke utake usitake

Mbowe anapata nini Chadema zaidi ya kujivunjia Heshima tu na kusingizia wenzake hadi vitoto vidogo Ole Sabaya, Makonda vilimfanya kama Babu Kibogoyo 🐼
 
Ukweli no msumeno punguza unafiki
 
Ukikaa madarakani muda mrefu Heshima ni lazima ishuke utake usitake

Mbowe anapata nini Chadema zaidi ya kujivunjia Heshima tu na kusingizia wenzake hadi vitoto vidogo Ole Sabaya, Makonda vilimfanya kama Babu Kibogoyo 🐼
Amewasingizia nini wakina Ole Sabaya na Makonda.

Amandla...
 
TAL kwa hulka yake ni mkweli, si mnafiki na hana muhali. Sasa utamaduni wa kusema ukweli Watanzania wengi hatuna kwa kisingizio cha kulinda heshma, uoga au hata unafiki.
Ndivyo wengi tulivyokuwa tunaamini. Huu uchaguzi umetuthibitishia baadhi yetu kuwa hayuko hivyo.

Amandla...
 
Anapowasingizia " wenzake" ndio akina Sabaya humchezea kama Babu Kibogoyo

Muwage mnaelewa πŸ˜‚
Asante kwa kunielimisha. Lakini swali lina baki alimsingizia nani ndio ikawapa upenyo wakina Ole Sabaya na Makonda?

Amandla...
 
Unachokumbuka nimetoka kichwani mwako kadiri ulivyoona. Ndani ya chama mambo yanaweza kuwa tofauti na ulichoona kwa nje.
Slaa huenda alizungukwa au alidhani Lowassa atajiunga CDM ataleta wapiga kura wafuasi wake huku akimuachia Slaa agombee uraisi.
Sasa mambo yalipogeuka akaona ajitoe kwa hasira.
Hizi ni hisia zangu tu.
 
Asante kwa kunielimisha. Lakini swali lina baki alimsingizia nani ndio ikawapa upenyo wakina Ole Sabaya na Makonda?

Amandla...
Alimsingizia Shujaa Magufuli kavunja Nyumba yake pale Posta Club kumbe ile Nyumba ni ya NHC 🐼
 
Lissu akichukua CDM itakufa

Huyu jamaa kutunza siri ni sifuri kabisa,kama hajui siri ndio zinaendesha chama

CCM watatumia mwanya huo kumfanyia disorientation

Atachanganyikiwa

Na hii kujifanya yeye ni malaika na wengine wote ni mashetani really makes me see some doubts

Hakuna mahali ana accept responsibilities za aliyoyafanya akiwa kiongozi

Yeye anadhani Lissu kama Lissu ndio ataendesha chama bila kushirikiana na wazuri na wabaya wote?

Ukiangalia kijuu juu unaweza sema Lissu ndio sahihi sana ila I can see Kuna tatizo mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…