johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baada ya kumsikiliza Tundu Lisu Kwenye Mdahalo wa jana nimejiridhisha Lisu ni Chaguo la Mungu
Katikati ya upinzani mkali Kutoka Kwa Mbowe na Wapambe wake Lisu anamtetea Freeman Kwenye mambo mawili
1. Mbowe hatumii ruzuku ya Chadema bali inatumika kuwalipa Mshahara akina Mnyika, Mrema, Kigaila nk
Pili, Mbowe siye aliyemuuzia Chadema Mzee Lowassa bali ni Dr Slaa akishirikiana na baba askofu Dr Gwajima wa CCM
Katika ubinadamu wa kawaida siyo rahisi Mtu kumtetea mpinzani wake huyu Lisu ni Chaguo la Mungu
Katika hali ya kawaida siyo rahisi Mtu kuelezea udhaifu wa mtetezi wako aliyeko Jela Kwa sababu ya kukutetea Wewe mwenyewe, hakika Lisu ni Mtumishi wa Mungu
Mbowe mwenyewe hajawahi kumtetea Tundu Lisu Kwa jambo lolote Sana Sana anamsimanga tu Kwa Gari bovu bovu alilomuazima mwaka 2008
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu 😄😄