Dkt SSH, chondechonde rudisheni majina yote yapigiwe kura za maoni 04 August 2025

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2

* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;

* Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu.

Mipasuko hii ni mikubwa na ina athari kubwa kwa CCM yako. But huu ni ushauri tu siyo lzm kuufuata.

CCM 1
Wanaccm wengi
Tumedumu, tutadumu
 
Wanaopiga Kura za Maoni ni Wananchi hawahawa wasomtaka Samia japo ni Wanaccm.

Yeye Sikajifanya Kubadili Katiba Kihuni ili kurudisha machawa wake??

Sasa Ng'ombe anachinjiwa hukohuko alipoelekea.
 
Hakuna mpasuko ccm. CCM ishakufa miaka mjngi, kilichopo ni nguvu ya dola tu ndiyo imejivika uccm.
Tawile.
Screenshot_20250727-230836.png
 
CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2

* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;

* Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu.

Mipasuko hii ni mikubwa na ina athari kubwa kwa CCM yako. But huu ni ushauri tu siyo lzm kuufuata.

CCM 1
Wanaccm wengi
Tumedumu, tutadumu
Hivi unafahamu kile kidumu mnachokiomba kidumu kwenye kila mfanyacho,kinavuja zamaaani sanaa?Na msicho fahamu hivi sasa kimepasuka na hakifai tena hata kuzibaa?Kilicho salia ni kusema bye bye chama chakavuuu.
 
Back
Top Bottom