Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Wanaopiga Kura za Maoni ni Wananchi hawahawa wasomtaka Samia japo ni Wanaccm.CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2
* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;
* Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu.
Mipasuko hii ni mikubwa na ina athari kubwa kwa CCM yako. But huu ni ushauri tu siyo lzm kuufuata.
CCM 1
Wanaccm wengi
Tumedumu, tutadumu
Tawile.Hakuna mpasuko ccm. CCM ishakufa miaka mjngi, kilichopo ni nguvu ya dola tu ndiyo imejivika uccm.
Duuh!
Hivi unafahamu kile kidumu mnachokiomba kidumu kwenye kila mfanyacho,kinavuja zamaaani sanaa?Na msicho fahamu hivi sasa kimepasuka na hakifai tena hata kuzibaa?Kilicho salia ni kusema bye bye chama chakavuuu.CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2
* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;
* Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu.
Mipasuko hii ni mikubwa na ina athari kubwa kwa CCM yako. But huu ni ushauri tu siyo lzm kuufuata.
CCM 1
Wanaccm wengi
Tumedumu, tutadumu
Ingefaa aseme ni mgombea au laa?Ushindwe kumwambia humo humoo kkikaoni,
Ukaona uombe ruhusa ya shortcall, uje kutupia thread ya kumtisha JF!