Dkt. Stephano Reuben Moshi: Askofu Mkuu wa Kwanza KKKT Tanzania

Dkt. Stephano Reuben Moshi: Askofu Mkuu wa Kwanza KKKT Tanzania

Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.......
Kama mada isemavyo,baba Askofu Dr Moshi ni Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania ambapo aliongoza taasisi hiyo ya pili kwa ukubwa(ya Kwanza ni Roman Catholic) kati ya mwaka 1963-1976
Askofu Dr Moshi alifanya Mambo mengi na makubwa kiroho na kijamii ambapo aliheshimika ndani na nje ya nchi
Askofu Dr Stephano Moshi ndiye muanzilishi/muasisi wa hospital ya Kanda ya rufaa ya Kanda ya kaskazini ya Kcmc,pia chuo kikuu Cha kumbukumbu ya Stephano Moshi (STEMUCO) Cha mjini Moshi kilipewa jina lake ili kumuenzi
Askofu Dr Moshi alizaliwa mnamo mwaka 1906 katika Kijiji Cha Mamba kotela kata ya Marangu magharibi na kufariki mwaka 1976.

Dr Stephano Reuben Moshi, Phd Ali somea chuo gani na mwaka gani?na ni phd ya nini?​

 
Hivi lile kanisa la kotela nalo pia askofu Moshi alihusika?
Ndio alikuwa msharika pale
1454851315.jpg
 
Mkuu, nani alikufunfisha kuwa hiyo ni past perfect tense?
Hebu pitia tena notice zako za English Language Grammar za form one angalia matumizi ya neno since
Pia word order kwenye sentensi zako haiko sawa sawa. Lugha ya Kiingereza ina kanuni zake katika mpangilio na matumizi ya maneno.
Au labda nikuulize kwa Kiswahili ulitaka kumaanisha nini? Maana kuna watu wanaandika sentensi za Kiswahili kwa kutumia maneno ya Kiingereza. Ukiisoma sentensi ya mtu yaani unaona kabisa huu ni mtiririko wa sentensi za Kiswahili ila ametumia maneno ya Kiingereza
Nimetumia past perfect tense kwani sio sahihi ? Kwa maana tukio lilikwishatokea
 
Back
Top Bottom