Dkt. Stephano Reuben Moshi: Askofu Mkuu wa Kwanza KKKT Tanzania

Dkt. Stephano Reuben Moshi: Askofu Mkuu wa Kwanza KKKT Tanzania

Askofu Shoo yeye kazi yake ni kuropoka ropoka na kuwa chawa wa Mbowe, kiongozi wa kanisa ambaye ni mkabila na mbaguzi.
Kwahyo mtu akionewa asiseme? Hata kwa jambazi sabaya alimuonya umeona kilichompata?
Ni mkabila kivipi? Angekuwa mkabila angepigiwa kura za uaskofu na maaskofu wenzie wa majimbo yote tz? Acha uzwazwa
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama mada isemavyo,baba Askofu Dr Moshi ni Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania ambapo aliongoza taasisi hiyo ya pili kwa ukubwa(ya Kwanza ni Roman Catholic) kati ya mwaka 1963-1976

Askofu Dr Moshi alifanya Mambo mengi na makubwa kiroho na kijamii ambapo aliheshimika ndani na nje ya nchi

Askofu Dr Stephano Moshi ndiye muanzilishi/muasisi wa hospital ya Kanda ya rufaa ya Kanda ya kaskazini ya KCMC, pia chuo kikuu Cha kumbukumbu ya Stephano Moshi (STEMUCO) Cha mjini Moshi kilipewa jina lake ili kumuenzi

Askofu Dr Moshi alizaliwa mnamo mwaka 1906 katika Kijiji Cha Mamba Kotela kata ya Marangu magharibi na kufariki mwaka 1976.

Nawasilisha.

View attachment 2009077View attachment 2009078View attachment 2009079
Hapo ni kanisa LA komakundi Stefano moshi walikuwa wanasali na bibi yangu ruwaichi mmbando kanisa LA ashira kanisa LA kwanza marangu kabla ya kugawanyika usharika was mamba na kanisa LA kwanza kulijenga mamba n kotela lile dogo LA mawe bb yangu alizaliwa 1893 na kufariki 2016 akiwa na miaka 123 alikuwa ananipa stories nying za baba askofu
 
Back
Top Bottom