Dkt. Stephano Reuben Moshi: Askofu Mkuu wa Kwanza KKKT Tanzania


Dr Stephano Reuben Moshi, Phd Ali somea chuo gani na mwaka gani?na ni phd ya nini?​

 
Mkuu, nani alikufunfisha kuwa hiyo ni past perfect tense?
Hebu pitia tena notice zako za English Language Grammar za form one angalia matumizi ya neno since
Pia word order kwenye sentensi zako haiko sawa sawa. Lugha ya Kiingereza ina kanuni zake katika mpangilio na matumizi ya maneno.
Au labda nikuulize kwa Kiswahili ulitaka kumaanisha nini? Maana kuna watu wanaandika sentensi za Kiswahili kwa kutumia maneno ya Kiingereza. Ukiisoma sentensi ya mtu yaani unaona kabisa huu ni mtiririko wa sentensi za Kiswahili ila ametumia maneno ya Kiingereza
Nimetumia past perfect tense kwani sio sahihi ? Kwa maana tukio lilikwishatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…