DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)
ambapo Viongozi wengine walioshiriki ni pamoja na Enosy Ndobeji Kalambo (M/kiti wa CCM Magu), Fratha Andrea (Katibu CCM Magu), Julius Katisho (Katibu Mwenezi CCM Magu), Boniventura Kiswaga (Mb) na Mary Masanja (Mb).
Aidha, Dkt. Stergomena Tax ameendelea kushirikiana na viongozi wa Chama katika Wilaya Magu ambapo amekabidhi rasimu ya Mchoro wa Maboresho ya Nje ya Ukumbi wa CCM, kwa ajili ya mapitio na ridhaa kabla ya maboresho hayo makubwa kuanza kutekelezwa.