Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2025/2026
Amesisitiza wasanii hao wakamatwe ili kutokomeza tabia hiyo.huku akitaka waige mfano wa wasanii wanaovaa kwa kuzingatia maadili wakiwemo Darassa, Ben Pol, Ali Kiba, Lady Jaydee.