Ajiuzulu ubunge haraka sana ili kukwepa aibu hiiDahh.. Joab atakuwa anajisikiaje deputy wake kuwa boss wake!!
Pumbavu! Magufuli kakulazimisha umchague Tulia?Hii nchi tulipofika ni pabaya sana.
Magufuli ndiye muasisi wa uovu wote
Jobu maskini hakutegemea kilichotokea mpaka kuukosa uspika wake ambao ulikuwa ushaota mizizi tena kuukosa kwa kiwango hiki, Rais wa nchi inabidi tu aheshimiwe hakuna namna nyengine, mama akiwa nyumban lakini kazini ni mkuu wa majeshi yote.Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye hiyo jumla.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.