Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

100% win is not realistic
What is realistic
Umemsikia Bulaya alichosema
Alisema Hakukuwa na Mgombea bora lakini wao walichagua mgombea mwenye afadhali ktk waliojitokeza.
Mdee yeye alitamka wazi chama hakikuwa na mgombea.

Hivi kwa akili zako uliona mgombea gani makini aliyesatahili kiti cha spika ktk wale waliojitokeza?
Au uliamini Bulaya angempa kura yule jamaa mchekeshaji mwenye ulemavu wa ngozi au aliyetumia bunge kumpamba mkewe
 
Back
Top Bottom