Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Nonsense...
 
Ina sahv bwana kazi ndgy atakuwa anakaa kwenye viti,kuomba maji,barabara,madawa jimboni mwake....

Ova
 
TUMIA AKILI, CHADEMA ina mbunge mmoja tu BUNGENI, toka jimbo la NKASI, anaitwa AIDA KENANI
 
Chadema haina wabunge 19 bungeni. TENGUA kauli[emoji3525]
 
Hakuna wabunge wa Chadema ktk hilo wanaloita bunge wote waliomo humo ni ccm na hawakuchaguliwa na wananchi ila walipelekwa humo kwa nguvu na dikteta Magufuli. That's all.
 
Mbatia na Ndugu yai wanasemaje
 
Uongo jamani. Jana mi nilimchagua mwingine lakini nashanga kura yangu imejumuishwa kwenye kura za Tulia Ackson ili kufikisha idadi eti amepita kwa kishindo na wabunge wote.

Jamani CCM muogopeni Mungu. Mi sijampigia kabisa humu bungeni na wengine rafiki zangu wanne hawajampigia. Duh hii kali
 
Taja jina na nafasi unayoketi pale Bungeni tukaangalie kama kweli hukumpigia!
 
Wewe na wabunge wenzako ni sawa na Chief Mangungo wa Msovero, bure kabisa.
 
Imebidi nirudi kuangalia uchaguzi uliomuweka madarakani Nancy Pelosi.

Kiukweli nimesikitika sana.
Umengalia ili iweje au ulifikiri na Marekani wapinzani wakiambulia wabunge 8 wa majimbo kama Tanzania?
 
Kura 100% bado wabunge/bunge lina udhaifu.
Sio bunge lenye udhaifu bali vyama vya upinzani vyenye wabunge ndio dhaifu. Hawa ndio walishindwa kusimamisha mgombea wao
Wameshindwa hata kuelekeza wabunge wao kutoka nje
Au kuharibu kura zao
Au kupiga kura za kumkataa kama utaratibu unaruhusu
Kumbe Chadema Act na Cuf ni vyama dhaifu sana
 
Hii inafaa kuingia kwenye Guiness book of records
Hakukuwa na mtoro hata mmoja
Hakukuwa na mwenye udhuru hata mmoja
 
Ccm ni chama dhaifu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…