Dkt. Tulia Ackson anavyopost mitandaoni vinakinzana na madaraka aliyonayo Duniani

Sasa kama hana Content ya kupost afanyeje? Unamuonea huo uwezo hana.
 
Kumbuka nje wa Madaraka aliyonayo bado ni kijana na anatakiwa Aishi vile vile kulingana na umri alio nao hivyo usikomae saaaana. Maisha ni mafupi Kila mtu anatakiwa ku enjoy kwa nafasi yake. Hivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza wabunge unafikiri ni kazi ndogo,? Kila anaye simama ni kulalamika tuu, na kupiga kelele Jimbo langu Jimbo langu, mwongozo ,mwongozo ukitoka kichwa kinaa. Tunapopata kitu Cha ku refresh akili yako kifanye ili kuepuka noncommunicable diseases kwa stress za kazi
 
Picha
 
 
nadhani anakizana na mtazamo wako mkuu sio madaraka yake 🐒
 
UMETUDHARAU WATU WA MBEYA WAKATI NDIO TULIMPA MTAJI SUGU MPAKA KAJENGA HOTELI.
 
Bibi wa taifa siyo dada
 
Nadhani kule kumelenga wanambeya ili apate sympathy ya kupata ubunge tena. Hajafocus kwenye Dunia unayitaka. Huo ndio mtazamo wangu maana huwa namfuatilia IG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…