Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tumeambiwa dkt tulia Ndiye Mgombea pekee aliyepitishwa na ccm kugombea au kuwania uspika
Swali langu ni anagombea uspika against nan???,amepitishwa kugombea au amepitishwa kuwa spika??
Naomba kuwasilisha
Tulia anasapatiwa na CCM,wapo wa vyama vingine na wagombea wengine wasio na vyama kumbuka KUWA spika sio lazima uwe na back up ya chama kwa hiyo uchaguzi lazima uwepo sema shida ni wing wa CCM BUNGENI kinamfanya tulia tayari ameshashinda


USSR
 
Anayesimamia huo uchaguzi nani?
Hizo theluthi mbili mbona ni rahisi tu kwa ukijani uliopo bungeni.
Mbona ule mnyukano wa wachukua-fomu ama watia-nia ^sir-bee-knee^ na moja hukusema pia kwamba ni rahisi tu? Halafu, unasoma ^car-tea-bar^ ya wapi? THE PARLIAMENT MUST COMFIRM THE NAME!
 
Hajapitishwa kugombea uspika, amepitishwa kuwa spika elewa hivyo kijana
 
JIwe amesaidia sana wanawake bila kutambua.
Kamuweka Samiah Suluhu Kuwa makamu wa raisi matokeo yake kawa raisi.
Kamuweka Tulia Ackson kuwa naibu spika Sasa kawa spika kamili.
Na Hapo raisi Samiah Suluhu atajaza wanawake wenzake sehemu zote nyeti!🤔
 
Nzoka ihenge wamemuacha? Huyo asingekuwa mtii kwa mhimili pendwa.
Basi kasi iendelee
Usichokijua ni kwamba wale wanasiasa ^war-who-knee^ na nguli wamehojiana na kuona asipopewa Dkt. Tulia (chaguo la JPM), basi utabainika wazi kwa wananchi na wazalendo kuhusu mkakati wao mchafu wa kuwapukutisha hovyo wateule wake Anko wa Chattle.

Wameamua kwenda one step at a time!
 
Wabunge theluthi mbili wasipompigia kura ya NDIYO, mchakato unaanza upya.

Kama wameweza kumdhalilisha Spika wa Bunge live, kumtoa na kupitisha jina moja na vyote kinyume na taratibu kama tulivyozoe, hiyo ya theluthi mbili ni kitu gani ? Hata kama 100% ya Wabunge wamkatae bado atakuwa Spika.

Kila kitu kimeshaoza, it’s a coup !
 
Nilikuwa nasikia kuwa yatateuliwa majina matatu yatakayopelekwa kwenye kikao ha wabunge wa ccm ili wachague jjna moja. Naona wameona wakipeleka majina matatu huku joka la makengeza (almaarufu kama mtemi) likisemo Mheshimiwa Tulia angetulia pembeni mwenyewe!! Hekima kubwa imetumika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…