Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jamani bunge linahitaji mtu mzito. ie ndugai .anna ..walikuwa wanautisho na wazito kwelikweli.
 
Utabiri wa Mayalla umetimia
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Kaanzishe kisiwa chako.

Hata wafuasi wa Magufuli (RIP) walikuwa wanajibu hivyo hivyo kwa jeuri na dharau leo hii wanatupwa Jela na kudharauliwa na kudhihakiwa na wale wale waliokuwa chini yao.

Unaweza kuwa unakula na kulala na adui bila ya kujua akisubiri nafasi ya kukumaliza, muulize Ndugai siajabu hakujua msaidize wake alikuwa anamsnitch huku akiiwania nafasi yake, who knows nini kinaendelea huko kwa wanaojitutumua sasa hivi kwamba wana power ? Labda wanakula na kulala na adui pia, who knows ?
 


Hekima kuvunja katiba?!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…