Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.
Haya wengine tunashukuru kwa kushiriki kwenu mkacheze mnapochezaga
 
Hamna demokrasia iliyotumika kumlitisha iliyoonekana hapo .
 
Hivi kweli mkuu, kuna nani wewe unadhani anaweza kupingana na executive? nchi hii Tanzania. kwa uhalisia kabisa.
Binafsi, ningeshangaa sana kama wasingempitisha Dr. Tulia.

Tuelezeni wapi walipingana viongozi wa chama Kimoja. Labda Kenya. Makamu na Rais Wake.
 
Hongera TULIA ..

Ila bungeni kwako mbona hamna upinzani. Ni chama.kimoja tu cha CCM. au unazungumzia chadema iliyo ndani ya CCM..
WALE WANAOSHINDA KISUTU NA GAIDI
 
Hii kesi Tundu Lissu hatakuja kuisahau maisha yake yote
Jaji alitumia dak 5 tano kutupilia mbali hoja za lissu baada ya kuridhishwa na kiapo kinzani toka kwa Dk Tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…