Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Pamoja na Tulia wamepitishwa jumla wangapi?.
 
Sio mbaya,
Angewekwa muisilamu hapo ndio tungesema,
Ila hapo poa tu
Hakuna udini wala nini
 
Hamna jipya hapo, business as usual.
 
Chukua Chako Mapema (CCM), kwani mwisho wetu ndio ushafika sasa.
 


Nileteeni Gwajima X 3

Nileteeni Daniel X 3
Nileteeni Tulia X 3
Nami Nitatulia
Sugu, Nisugue X 3

By Jiwe
 
Sasa hebu taja kati ya wagombea waliokuwa wakitafuta nafasi, ni yupi mwenye uzoefu na uspika wa bunge la JMT?

Wakati mwingine tuwe tunaweka mahaba pembeni na tutumie simple logics namna CCM huwa wanaendesha mambo yao...
Pont kana CCM wamekosea wataja jina la mgombea sahihi kati ya 71 kama sio DR TULIA
 
Pascal Mayalla komaaa na huyuhuyu akupigie debe kwenye teuzi zijazo. Ulimtabiria na kumpiga debe sana humu tangu zamani.

It's now or Never!
Ila P hapati kitu hapa. Jana saa 3:26 hapa hapa jamvini P alimponda sana Tulia kwamba hafai kabisa bora hata mtoka zake. Nakumbuka Sana hilo kwani nilimpa tahadhari kwamba kama NS akitulia ajiandae kuitwa huko kwa Zumbe. Na sasa yametimia.
 
Kwa hiyo huyu dada tunadunda nae mpaka 2040 duh!
au mpaka chadema wachukue nchi
 
What a missed opportunity ?!.
tulitaka Spika Bora, tumeletewa Bora Spika!.
P
Chenge fisadi na kibaka na mhongaji sana media kampuni za PPR kama yako ili usambaze rushwa kwa wajumbe wa CCM unapeleka Invoice as a PPR company unalipwa mamilioni kumbe pesa za kuhonga wajumbe imekula kwako

Kama ulihongwa ujapewa maburungutu cash au kwenye akaunti rudisha pesa yake tafadhali PPR job yako haijafanya kazi mrudishie hela zake
 
Connection ya baba yake ndio imempa ulaji.Ccm bila connection utaishia kuwa mpiga kura na sio mpigiwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…