johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea"Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam...
Kama ilani ya CCM haitafanyiwa upembuzi yakinifu kwa kupitia upya na kuangaliwa vipaumbele vya haraka na vya muda mrefu, Kun kila dalili WatanzaniaVitu vingi vilikuwa vinaendeshwa kwa ubabe na urongo !
Ndo maana huyo banyamulenge Bashiru alikuwa na powers na kiburi...
Ilani imejaa fiksi tu..
Sasa Mh. Samia hapo anahusikaje?"Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea"
Hahahaaaa....... amekariri huyu meku!Sasa Mh. Samia hapo anahusikaje?
Katika hili Mama Samia anaonewa bure.Sasa Mh. Samia hapo anahusikaje?
Wabunge wa Mbeya /Songwe wakomalie hii miundo mbinu ya mikoa hii.Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka ujao wa fedha, sasa tumwamini nani CCM au Serikali? Anauliza Dr Tulia ambaye pia ni naibu Spika wa bunge.
Chanzo: Bungeni
Serikali imekusikia bwashee!Wabunge wa Mbeya /Songwe wakomalie hii miundo mbinu ya mikoa hii.
Ukitoka pale Igawa kuelekea Mbeya barabra i mbaya mbya mno, unaweza hata kupoteza rim ya gari na kuingia korongo.
Mkapa hakuwahi kukarabati
Kikwete hakuwahi kukarabati.
Mwendazake alikuwa busy na fly over ya Busisi kwenda kwao.
Ni wakati kudai barabara hii na nyingine Mkoani Mbeya /Songwe zijengwe, tumenyanyapaliwa mno.
Hivi lachi za taifa aliye zihujumu ni nani ?Upinzani mbaya sana. Kuna nchi ya kiafrika rais aling'oa reli inayoenda kwa wapinzani ili kuwakomoa. Sasa jiwe kaishia kupanua barabara Igawa ili kukomoa watu wa Mbeya na ile barabara ni ya kimataifa?
Ndiyo tumjue Mwendazake kwa ubaya wake, roho yake isiyo nzuri kwa watu wa Mbeya.Hilo suala la hiyo Barbara huwa linaniumiza sana. Kiongozi anaamua tu kwamba sitaki hii Barabara ipite Mbeya basis
Lachi Ni kitu gani hasaHivi lachi za taifa aliye zihujumu ni nani ?
Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka ujao wa fedha, sasa tumwamini nani CCM au Serikali? Anauliza Dr Tulia ambaye pia ni naibu Spika wa bunge.
Chanzo: Bungeni