masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Barabara za Mbeya na hata Songwe zimo kwenye ilani kwa miaka zaidi ya 20 , lakini hakuna kinachofanywa.Matapeli bana huwa wana tabia ya kujichanganya sana. Serikali ni matapeli, na ccm wazee wa ilani ya kurasa 300 nao ni matapeli. Sasa wameanza kushikana uchawi.
Angevuliwa uanachamaThubutu aulize swali kama hili enzi za dhalimu!!! Hizi ni dalili tosha kwamba ndani ya maccm mama ana hali ngumu sana.
Katiba yetu imekaa kipuuzi snHilo suala la hiyo Barbara huwa linaniumiza sana. Kiongozi anaamua tu kwamba sitaki hii Barabara ipite Mbeya basis
Huyu mama alitegemea hisani mwendazake- Ana bahati mbaya kweliThubutu aulize swali kama hili enzi za dhalimu!!! Hizi ni dalili tosha kwamba ndani ya maccm mama ana hali ngumu sana.
Wote!CCM au Wizara nani anafanya upembuzi yakinifu?
Acha uzwazwa wako na mepenzi ya kijinga.Thubutu aulize swali kama hili enzi za dhalimu!!! Hizi ni dalili tosha kwamba ndani ya maccm mama ana hali ngumu sana.
Ndio kitu gani hicho?Hivi lachi za taifa aliye zihujumu ni nani ?
Kuna ile barabara ya Katumba kwenda Mwakaleli kwenye chai na gesi toka uhuru haijawahi jengewa lami!! WAkati inaingizia nchi mabilioni ya pesa zikiwemo za kigeniWabunge wa Mbeya /Songwe wakomalie hii miundo mbinu ya mikoa hii.
Ukitoka pale Igawa kuelekea Mbeya barabra ni mbaya mbaya mno, unaweza hata kupoteza rim ya gari na kuingia korongo(Igawa-Mbeya ni 100km na Mbeya-Tunduma ni ~100km)
Mkapa hakuwahi kukarabati
Kikwete hakuwahi kukarabati.
Mwendazake alikuwa busy na fly over ya Busisi kwenda kwao.
Ni wakati kudai barabara hii na nyingine Mkoani Mbeya /Songwe zijengwe, tumenyanyapaliwa mno.
Kuna ile ya Katumba kwenda Mwakaleli kwenye chai na gesi toka uhuru haijawahi jengewa lami!! WAkati inaingizia nchi mabilioni ya pesa zikiwemo za kigeni
Wabunge wa Mbeya komaeni
Mkuu naona umepotea wewe. Nakushauri rudi mfuate rais utaona bila kificho anakotupeleka. Huko, hakuna dhuluma, u-mungu mtu, kuji-mwambafai, kubambikiziwa kasi, n.k."Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea"
Mkuu tena ile barabara inaelekea kwtu kwenye bridi.Kuna ile barabara ya Katumba kwenda Mwakaleli kwenye chai na gesi toka uhuru haijawahi jengewa lami!! WAkati inaingizia nchi mabilioni ya pesa zikiwemo za kigeni
Wabunge wa Mbeya komaeni
Ilifanywa na Polepole hapo sasa, mtaula wa chuya! πππCCM au Wizara nani anafanya upembuzi yakinifu?
Kimeumana,Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka ujao wa fedha, sasa tumwamini nani CCM au Serikali? Anauliza Dr Tulia ambaye pia ni naibu Spika wa bunge.
Chanzo: Bungeni
Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka ujao wa fedha, sasa tumwamini nani CCM au Serikali? Anauliza Dr Tulia ambaye pia ni naibu Spika wa bunge.
Chanzo: Bungeni
Wamelekwa chawa....babu tale,mwana FA,msukuma,....... Watachangia nini.. Rais amewaambia wanapwa,wanademkaYaani bunge limepwaya mpaka spika na naibu ndiyo wanatoa hoja
Fvk off. Sukuma Gant into total desperation"Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea"