Kama wamepima upepo wakawa na "uzalendo mkubwa" kwa nini uone mimi niliyepima upepo pia "niwe na akili finyu"? Cheki vizuri criteria unayotumia kupima upepo, labda inakupotosha usione sawasawa. After all, kama una mihemko huwezi kupima vizuri mpaka uwe sober.Mbona una akili finyu, wazee wa Tabora wenye uzalendo mkubwa kwani walikuwepo IPU Geneva?
Wamepima upepo na kuelewa kuwa huko alikokuwa Dr Tulia kafanya lile limpasavyo kufanya kwa uzalendo, kana mtanzania.
Ninyi mnaotweta kwa kuogopa kufutiwa misaada ya condom na ARV mtabaki kuwa na fikra za kimasikini.