Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Sio kweli, hizo organizations zimejaa wazungu wengi tu. Hao wawakilishi wa Lithuania, Ukraine na Russia wanawakilisha mataifa hayo makubwa na wamo humo.Hahaha nobody cares na huo ujinga wa nonsense organization's kama hizo, ni nchi maskini tuu ndio wanachukulia serious maana ndio wanapopatia posho, hata Magufuli alishtukia huo ujinga akaacha kupoteza muda kusafiri kuhudhuria hii mikutano ambayo ni useless
Magufuli alikuwa mwepesi sana kwenye masuala ya kidiplomasia, alitanguliza ujivuni katika mahusiano na mataifa makubwa pengine ikiwa ni kinga ya kutojihusisha nao kwenye masuala mengi, na wakati huo huo tukaendelea kutengwa na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali.