Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!

Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.

IMG_20200823_000044.jpeg
 
Hii Nchi sijui double stand itaisha lini! Sugu alikamatwa na Jeshi la polisi kwa kosa la kufanya maandamano wakati wa kuchukua fomu. Kwanini Tulia hajakamatwa au yeye yuko juu ya sheria!

Delete CCM on 28th October 2020 for the safety of our Nation.
 
"Hakuna asiye mpinzani Tz..CCM ni mpinzani wa vyama vingine na vyama vingine ni mpinzani wa CCM.asiye mpinzani hajazaliwa..asiye mpinzani ni mtu aliyekufa..upinzani unaleta maendeleo..upinzani unachochea fikra mpya..hivyo maendeleo ni uasi" Askofu Dkt Bagonza
 
Mi nikiona Askari mstaafu anaishi maisha magumu mtaani najua ni malipo ya dhuluma aliyowafanyia raia kipindi cha utumishi wake.
Mungu hana mzaha. We jione kamanda tu kwa kutumikia double standard.
 
Lumumba mna tabu na hamjielewi kabisaa,lissu akikusanya nyomi mnaishia kusema hao wote sio wapiga kura ila ni vijana tuu wa mtaani walokuja kumshangaa, nyomi hiyohiyo akikusanya betina mnaishia kudai chadema itafutika kwenye ramani. Hamueleweki na hamjielewi.
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!

Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.

Namuhurumia sana huyu Mama
 
Lumumba mna tabu na hamjielewi kabisaa,lissu akikusanya nyomi mnaishia kusema hao wote sio wapiga kura ila ni vijana tuu wa mtaani walokuja kumshangaa, nyomi hiyohiyo akikusanya betina mnaishia kudai chadema itafutika kwenye ramani. Hamueleweki na hamjielewi.
Alafu mbona watu wote wamevaa mashatu, Dela na Tsheti Mpya.
 
Huyo OCD ambaye amejionyesha wazi kuwa yeye ni CCM, atajionea mwenyewe wakati wa upigaji kura.

Ile dhambi aliyoifanya ya kumkamata Sugu kwa madai kuwa ameenda kuchukua fomu na maandamano.

Wakati anajifanya "kipofu" kwa kutoyaona hayo maandamano ya Tulia, wa CCM, kwa hiyo "double standard" yake itajibiwa kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom