Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu alienda na watu kumi tu wakamtia ndani eti anafanya maandamanoMgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!
Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.