Nditolo, umemaind?Hayo maandamano yameruhusiwa sio. Huyo OCD atatelekeza familia. Mwambieni kuwa Mbeya sio ya kujifunzia kazi. Manina
Namuhurumia sana huyu MamaMgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Mwansasu amechukua fomu ya kugombea ubunge huku akisindikizwa na maelfu ya wananchi wengi kuliko walioenda kwenye udhamini wa mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu!
Hiki kishindo cha uchukuaji fomu ni salamu tosha kwa Sugu na CHADEMA kwa ujumla kwamba wajiandae kustaafu na kwenda kufagia kwenye hotel yao ya Desideria.
Alafu mbona watu wote wamevaa mashatu, Dela na Tsheti Mpya.Lumumba mna tabu na hamjielewi kabisaa,lissu akikusanya nyomi mnaishia kusema hao wote sio wapiga kura ila ni vijana tuu wa mtaani walokuja kumshangaa, nyomi hiyohiyo akikusanya betina mnaishia kudai chadema itafutika kwenye ramani. Hamueleweki na hamjielewi.
Nime mind sana. Hiki chama kina nikera sana.Nditolo, umemaind?
Alikuwa anakwepa mtego: reference to Membe.Yule afande aliyemkamata Sugu kwa sababu alikuwa na watu wasiofika 50 ameiona hii?