Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Eli Tege dah...you made my evening
 
Kwenye hiyo motorcade kuna STL/STK/SU ngapi? Tayari hiyo ni disqualification ya candidacy. A lawyer who does not know law is a liability. Hatumuhitaji. Arudi tu kwenye mipasho kuwa Dela bila msambwata halinogi.
Hii kitu hata mimi imenishangaza. Iutumia mali za serikali kwenye isdue za chama.
Hivi hakuona hata JPM alitoa namba kwenye yale magari? Hata walinzi walijifanya sio watumishi wa umma waka vaa vitenge
 
Ahaaaa ahaaaa, wakati huo huo Lissu akiongea na watu wanasema atakatwa kwa kuanza kampeni mapema! Katika majimbo ambayo kutakuwa na umwagikaji wa damu ni hilo jimbo la Mbeya iwapo wapinzani watahakikisha mgombea halali anatangazwa.
 
aya sio maandamano mbona sisi tuliopo mbeya atukutikisika wala kusimama ata kustuka pia
 
Ahaaaa ahaaaa, wakati huo huo Lissu akiongea na watu wanasema atakatwa kwa kuanza kampeni mapema! Katika majimbo ambayo kutakuwa na umwagikaji wa damu ni hilo jimbo la Mbeya iwapo wapinzani watahakikisha mgombea halali anatangazwa.
Mmeo ndiyo atamwaga hiyo damu
 
Jana nilikuwa mahali na mtumishi mmoja wa serikali , akaniambia anajuta kumpigia kura Magufuli ile 2015.

Nikamwambia awe mpole, mambo mazuri yanakuja huko mbele.
Hakuna dalili hio kwa Upendo upi alionao kwa wanadamu furaha yake ni kuona machozi ya watu ili wamuabudu
 
Asubirie teuzi na Kama atarudi baba yake maana nae hatihati
 
Hakuna dalili hio kwa Upendo upi alionao kwa wanadamu furaha yake ni kuona machozi ya watu ili wamuabudu
Muwe na matumaini , magufuli ni mpenda haki amani , maendeleo na mpenda watu.

Tuendelee kumuombea asiwe na kiburi kuzidi alichonacho tayari.

Eat more fruit the slogan says.
 
Muwe na matumaini , magufuli ni mpenda haki amani , maendeleo na mpenda watu.

Tuendelee kumuombea asiwe na kiburi kuzidi alichonacho tayari.

Eat more fruit the slogan says.
Hatutaki wanaojaribu uongozi
 
Muwe na matumaini , magufuli ni mpenda haki amani , maendeleo na mpenda watu.

Tuendelee kumuombea asiwe na kiburi kuzidi alichonacho tayari.

Eat more fruit the slogan says.
Mpenda watu hakomoi watu asomeshi namba watu kwa kuwafanya masikini ili awatawale
 
Mbona ni watu wachache sana; huo ndio mtikisiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…