PreGE2025 Dkt. Tulia akimbia jimbo la Mbeya Mjini, atangaza nia kugombea jimbo jipya la Uyole

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata huko nikwamoto balaaaaaaa! Kazi kazi. Atasimama mwabukusi 😂😂😂 hakuna kulemba mwaka huu.
 
Sugu alisema atamfuata popote atakakoenda! Kazi anayo!
 
Haka kadada hakapendezei kabisa kuwa kaheshimiwa... uvivu tu wa kufanya kazi za u-house girl na kuuza maparachichi..
 
No reforms no election
 
sa anakimbia nini wakati sugu yupo kwenye no reforms no election! au sugu nae ana mpango wa kulamba asali na ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…