Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa kejeli iko wapi hapo! Na wakati ndiyo uhalisia wenyewe huo!!!Tukosoane kwa hoja na siyo kejeli ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kejeli iko wapi hapo! Na wakati ndiyo uhalisia wenyewe huo!!!Tukosoane kwa hoja na siyo kejeli ndugu yangu.
Njaa mbaya mkuu. Unaweza kumpa shikamoo mtu anayemtongoza binti yako wa fomtuu.Huyu Dogo Fala sana.
Dr Tulia anakubalika sana na wana Mbeya. hata kama mkoa mzima wa Mbeya lingekuwa ni jimbo moja la uchaguzi basi Dr Tulia ndiye angempita na kushinda kwa kishindo maana kila utakakokwenda ndani ya mkoa wa Mbeya Dr Tulia anakubalika.Kama ni kweli itakua jambo jema! Ni vizuri wasitishe ugawaji wa hilo jimbo ili kupunguza gharama kwa serikali.
Wapinzani wanasema serikali inataka kuligawa jimbo ili kumlinda Dk Tulia.
Mimi ni mkulima na sina njaa maana nakula kwa jasho langu kwa kazi ya mikono yangu kwa kushika jembe kwa nguvu ,bidii na maarifa.Viongozi wa CCM mkoa wa Mbeya , mchangieni pesa kidogo mdogo wenu Lucas mwashambwa apunguze njaa. Hana uwezo kielimu wa vyeo vya kuteuliwa lakini kwa uwezo wake mdogo anajitahidi kuwapigia debe japo hakuna anayemsikiliza
Hivi kwa nini huwa unaweka namba za simu? mwisho wa posts zako? ili kusudi viongozi wa CCM wanaozurura humu wakuone na kukupa teuzi? posts zako zimekaa kinafiki sana na uongo mwingi na ukweli unaujua.Dr Tulia anakubalika sana na wana Mbeya. hata kama mkoa mzima wa Mbeya lingekuwa ni jimbo moja la uchaguzi basi Dr Tulia ndiye angempita na kushinda kwa kishindo maana kila utakakokwenda ndani ya mkoa wa Mbeya Dr Tulia anakubalika.
Dr. Tulia Akson ni Nyota na Nuru ya Mbeya mjini kimaaendeo. Ni nyota inayong'ara Tanzania yote, Africa na Dunia nzima.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo kushangilia ushindi wake.
Maana kila mtu anasubiri kwa hamu na kwa kiu kubwa sana siku na wakati ufike ili ampigie kura ya ndio Dr Tulia. kila mtu anataka kujiwekea historia ya kumpigia kura Rais wa IPU. kila mtu anataka kuitangazia Dunia kuwa hawakukosea kumchagua kuwa Rais wao wa IPU ,kwa kuwa hata wao wana Mbeya bado wanaendelea kumpenda na kumhitaji kuendelea kuwa mbunge wao.
Kwa sasa kila mwana Mbeya anataka kuja kupiga kura kama sehemu ya kutoa shukurani na asante kwa Dr Tulia kwa kazi kubwa aliyoifanya na kugusa maisha ya wana Mbeya wengi. Dr Tulia kwa sasa hahitaji kutumia nguvu katika kampeni maana wana Mbeya wanaendelea kumpigia kampeni kila siku, wanaendelea kuonyesha na kutaja mambo aliyoyafanya katika uongozi wake ambayo yalikuwa hayajawahi kufanywa na mbunge aliyemtangulia.
Kikubwa tuendelee kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kuwatumikia wana Mbeya .tumuombe Mungu aendelee kumpigania, kumtetea na kumlinda wakati wote. Mungu aendelee kuwa upande wake na kumuongoza katika kila hatua apigayo .lakini pia Dr Tulia naye aendelee kumtumainia na kumtegemea Mungu katika kila jambo kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote .
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Akikujibu nishtue😂😂😂😂😄😄😄Wewe endelea na biashara yako hapo Desderia. Lakini jimbo la Mbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia uchaguzi ujao.kapewa kibali na wana Mbeya ili aendelee kuwaletea maendeleo
Upande wa chama kazi ilishakwisha na hakuna atakayechukua Fomu ya ubunge zaidi ya Dr Tulia mwenyewe. Kila mwana CCM ameridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM Katika Jimbo la Mbeya na namna Dr Tulia alivyofanya kazi kubwa ya kuwatumikia wananchi na kugusa maisha yao ,hali iliyokiheshimisha na kukipatia sifa na heshima kubwa sana chama pale Mbeya mjini. Kwa hiyo kila mtu ameridhika kuendelea kwa Dr Tulia kwa awamu nyingine zaidi.Wakati fulani unatakiwa kupunguza njaa na kujipendekeza kulikopitiliza. Halafu siyo jambo la kawaida kwa mwanaume aliyekamilika, kujipendekeza hovyo eti!!
Maana ukiulizwa kama mchakato wa kumtafuta mgombea wa chama kwa hiyo nafasi kama umeshafanyika, au uhakika wa asilimia ngapi kama huyo Tulia wako atakuwepo hiyo 2025! Sidhani kama utakuwa na majibu sahihi.
Kwa sasa alishapoteana sana hasa baada ya kuona hata chama chake chenyewe kimepoteza mvuto kwa watanzania ,hakikubaliki wala kuaminika na watu,maana kila mtu anajuwa kama ni gari basi wakati wowote mnaweza mkashushwa au kubadilishiwa gia mteremkoni na hivyo kuwapeleka na kuwamwaga korongoni.Akikujibu nishtue😂😂😂😂
Unaongea kama vile wewe ndiyo Katibu Mkuu wa chama! Au ndiye mratibu wa hilo zoezi la kuchuja wagombea kabla ya uchaguzi. Kumbe you are just a nobody.Upande wa chama kazi ilishakwisha na hakuna atakayechukua Fomu ya ubunge zaidi ya Dr Tulia mwenyewe. Kila mwana CCM ameridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM Katika Jimbo la Mbeya na namna Dr Tulia alivyofanya kazi kubwa ya kuwatumikia wananchi na kugusa maisha yao ,hali iliyokiheshimisha na kukipatia sifa na heshima kubwa sana chama pale Mbeya mjini. Kwa hiyo kila mtu ameridhika kuendelea kwa Dr Tulia kwa awamu nyingine zaidi.
Pia mimi sijaandika kwa kujipendekeza bali nimeandika ukweli na uhalisia wa mambo unaoendelea katika jimbo la Mbeya mjini.
Inaonekana wewe ni mtu unayependa kupewa majibu ya uongo au utapeli .hupendi kuambiwa ukweli kama huu nao kupatia mimi hapa.Unaongea kama vile wewe ndiyo Katibu Mkuu wa chama! Au ndiye mratibu wa hilo zoezi la kuchuja wagombea kabla ya uchaguzi. Kumbe you are just a nobody.
Tulia atafute kazi nyingine au labda apewe ubunge wa viti maalum.Hao uliowataja hakuna hata mwenye muda nao. Angalia mfano huyo Mwabukusi majuzi tu hapa aliitisha maandamano kwa kushirikiana na mvuta Bangi Mdude Nyagali,hakuna alijitokeza wala kuwaunga mkono zaidi ya wao wenyewe kukimbilia vichakani kwenda kujificha.
Hoja zako huwa ni za kijinga sana na zenye kuchafua roho za Watu makini.Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja
Basi andika zako nzuri na bora kuliko zanguHoja zako huwa ni za kijinga sana na zenye kuchafua roho za Watu makini.
Dr Tulia atazoa kura zote pale Mbeya mjini,maana hakuna mtu aliye na ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura,kwa kuwa kila utakakokwenda unakuta ni Dr Tulia akipewa sifa na pongezi kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.Tulia atafute kazi nyingine au labda apewe ubunge wa viti maalum.
Hata kama anakuhonga lakini muambie ukweli kuwa Mbeya ni Ngome ya Sugu na Mwabukusi.Dr Tulia atazoa kura zote pale Mbeya mjini,maana hakuna mtu aliye na ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura,kwa kuwa kila utakakokwenda unakuta ni Dr Tulia akipewa sifa na pongezi kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Dr Tulia ndiye mwenye hati miliki na mbeya aliyopewa na wana Mbeya WenyeweHata kama anakuhonga lakini muambie ukweli kuwa Mbeya ni Ngome ya Sugu na Mwabukusi.
Bila ya kubebwa na Tume huyo Betina hana chochote.Dr Tulia ndiye mwenye hati miliki na mbeya aliyopewa na wana Mbeya Wenyewe
Bado sijaziona .nimeziona za simba tuBwana Lucas mwashambwa Umeona jezi za Yanga lakini?