Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge


Jamaa waliwekeza Twitter na kugoma goma...wenzao wakawekeza kwa wananchi
 
Kumbe hujui kitu,na kama unajua unajifanya kwa makusudi kutojua.
 
Wapinzani kwa kuvumilia ushenzi huu ,hatuwezi toboa jaribuni kuiga kwa Raila Odinga mjue kwa nini anaheshimika Kenya, au mfanye yale ya Corombia ili kuimaliza ccm. Watu wakufanya kazi hizo wapo.

Sasa kama ameshindwa kihalali unataka kuvumilia nn? Sugu alikuepo kwwnye kituo cha kura mwanzo mwisho
 
Its about time hao UVCCM nao waona faida ya bunge lisilo na upinzani.
Rais hata akiteua hamtazidi watu 50k.. mliobaki tutaisoma woote mtaani.

Na kuanzia leo nisione uvccm yoyote ananiomba buku ya kula..
 
Sugu asingepita ubunge hata iweje, wananchi wake walishamchoka kitambo. Yeye badala ya kuwapelekea maendeleo alikuwa bize kulumbana ili aonekane star bungeni huku akisahai wananchi wake.

Yeye alifikiri kuwa mbunge wa upinzani ni kubwabwaja tu bungeni na kupinga kila hoja. Kina Mbowe na Lissu ni watu wabaya sana shinda wajumbe, masikini Sugu sijuwi atarudia kuimba bongo fleva au kuwa mgema tembo.
 
Wapinzani kwa kuvumilia ushenzi huu ,hatuwezi toboa jaribuni kuiga kwa Raila Odinga mjue kwa nini anaheshimika Kenya, au mfanye yale ya Corombia ili kuimaliza ccm. Watu wakufanya kazi hizo wapo.

Wafanye kina nani Mbona wewe Una jitoa [emoji22][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Kuna watu Wabishi humu
Et ooh Sugu atashinda

Labda atashinda njaa πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sugu hilo aliliona dada kachukua kihali kabisa nampa pole na namtakia mapumziko uko aendako.
 
Mwenzao mnyika aliona mbali sana huku kibamba,akala kona mapemaaa kukwepa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…