Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

SOMETIME MUWE NA AIBU MAANA KU COMMENT UJINGA KAMA HUU. WIZI UITWE WIZI TU NA HII NI AIBU KUBWA KWAMBA MMESHINDWA KUPIGANA VITA WENYEWE HADI RAIS AWAPIGANIE
[emoji23][emoji23]Bwashee Hata ungeandika kwa herufi ndogo ungeeleweka tu, povu la Nini, kwani barabarani mnaingia sangapi?
 
Spana imebana pasipohusika😂😂😂😂😂😂😂😂watu walidhan wao wamiliki pekee wa spana
 
Tulia hongera sana hakika katika kura hizo na mimi kula yangu hipo
 
Wapinzani kwa kuvumilia ushenzi huu ,hatuwezi toboa jaribuni kuiga kwa Raila Odinga mjue kwa nini anaheshimika Kenya, au mfanye yale ya Corombia ili kuimaliza ccm. Watu wakufanya kazi hizo wapo.
Mpaka nijue kwanza COROMBIA iko wapi..na walifanya nn ndio nitafanya maamuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom