Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

Miaka mitano sio mingi. Na kwa vile hapatakuwa na upinzani mwaka 2025 ataweza kuwaonyesha wananchi maendeleo aliyowaletea bila bughudha ya upinzani. Kutakuwa hamna kisingizio tena.

Amandla...
 
Kuna mstari mwembamba sana Kati ya msaada na rushwa kabla (kipindi cha Kampeni) na kipindi cha uchaguzi wenyewe.

Mpinzani inaitwa RUSHWA.
Chama Tawala inaitwa MSAADA.

Too sad[emoji41]
 
Kwenye Nchi za Kiafrica hasa Tanzania Neno SHOGA na MABEBERU ukianza kulisikia Linatwajwa sana na Wananchi Tambua Huwa Halina BARAKA KATIKA JAMBO LOLOTE LILE MANENO HAYO HUW HAYANA USHINDI UTAANGUKAA TU........Tundu Lissu pamoja na Washirika wake hakuna hata Mmoja aliekana TUHUMA HIZI...Bali Waliendelea kutaka kwenda kushitaki watanzania Kwa mabeberu. Walijinasibu Kama vile ni Sifa Kuidharau Tanzania kwamba haiwezi kujisimamia Yenyewe mpaka Mahakama za Kimataifa hiii ilikuwa ni DHARAU KUBWAA wachaaa mpate Fundishoo kuwa Africa nzima Tanzania ndio inawazelendo Wa ukweli........ TUMEKAATAAAA USHOGA NA UBEBERU KWA KISHINDOOOOO ...... NILIPOENDA KUPIGA KURA SIKUANGALIA CHA HAKI UHURU WALA AMANI ....NILICHUKIZWA SANA NA KITU USHOGA NILICHUKIZWA SANA KUONA MGOMBEA WA URAIS MTANZANIA ANAANDIKA TWEETER ZAKE KWA KINGEREZA KUISHITAKI NCHI YANGU KWA WAZUNGU 😑😑😑😑😑😑😑 NIMEPIGA KURA KUKATAA USHOGA NA UBEBERU THATS IT
 
Real good. Chadema are immature. Wanaishi kwa matukio they deserve. Shida kujiaminisha they are bright likes of Lema, Msigwa, Mdee, Heche, na yule Lisu wao. To hell.
 
Naona unataka kuibadilisha nyekundu iwe njano.habari zenu tunazo
 
SOMETIME MUWE NA AIBU MAANA KU COMMENT UJINGA KAMA HUU. WIZI UITWE WIZI TU NA HII NI AIBU KUBWA KWAMBA MMESHINDWA KUPIGANA VITA WENYEWE HADI RAIS AWAPIGANIE
 
Hongera sana Dr. Tulia Ackson maana walikutukana hao wapinzani hasa wale wa vidole kama vya manati lakini Mungu mkubwa amekupigania. CCM Oyeeeee
Unamuhusisha Mungu na huo uovu wenu!!?
Kweli CCM ni shetani kwenye joho la chama cha siasa.
 
Tulia hajashinda bali ametangazwa , kama ilivyofanyika majimbo yote na maccm.
 
Happy birth day mama D, hahaha! Zawadi yako ni ushindi wa kimbunga wa CCM! Zawadi yako inbox!
AwwwwπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š asante sana Comred
Nina furaha sana kwa kweli. Mungu ashukuriweπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…