Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

Anarudisha Fadhila za Bwana wake kupewa kazi EWURA
 
Mke wa Mtu huyo,uachage UCHOKO shoga wewe
 
Anarudisha Fadhila za Bwana wake kupewa kazi EWURA
Dkt Tulia ni mbunge anayejitambua na kutambua wajibu wake kwa wanambeya .Ndio maana unaona muda wote yupo pamoja na wananchi akisikiliza kero na changamoto pamoja na kuwapatia majibu
 
Dkt Tulia ni mbunge anayejitambua na kutambua wajibu wake kwa wanambeya .Ndio maana unaona muda wote yupo pamoja na wananchi akisikiliza kero na changamoto pamoja na kuwapatia majibu
hakika MACHOKO Nchi hii hayawezi kwisha,wewe ni kinara wao
 
Mh! Una uhakika akina ndaga fijo wanamwelewa?
 
Wanamwelewa sana,wanamkubali sana na kumpenda sana .ndio maana unaona namna anavyopokelewa vizuri kwenye ziara zake
Kuna haja mmewe akufyatue marinda hayo CHOKO wewe,Mwanaume rijali huwezi kushinda kutwa mitandaoni kusifikia Mke wa Mtu,MACHOKO hamtaisha Nchi hii
 
Afunue kinywa na kulitema bungo maana limekwama kooni.

Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa, Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kataa wahuni.
 
Anachosema kina ukweli au ni usomi TU.
 
Afunue kinywa na kulitema bungo maana limekwama kooni.

Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa, Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kataa wahuni.
Kwani nani kakudanganya kuwa zimeuzwa?
 
Anachosema kina ukweli au ni usomi TU.
Kwanza karibu sana jukwaani kama mwanachama mpya wa jamii forum.karibu katika jukwaa linalohitaji kuwa na ngozi ngumu ya uvumilivu,maana humu utakutana na wengine wana matusi utafikiri wametoroka hospitali za vichaa kabla ya kumaliza matibabu. Kwa hiyo jiandae kwa yote. Lakini pia napenda kukwambia kuwa Dkt Tulia anaeleweka sana kwa wana Mbeya kwa kuwa amekuwa anaongea ukweli na uhalisia wa mambo.
 
Kwani nani kakudanganya kuwa zimeuzwa?
Nawe nani kakudanganya kuwa tunahitaji kubinafsisha Mali ya urithi Kwa wageni???

Bandari zetu Si nyanya au uduvi kuwa zitatoa harufu ya uvundo zisiopobinafsishwa!!!
 
peleka UCHOKO wako huko SHOGA wewe,kila siku Dr.Tulia Dr.Tulia,si ukamkatikie mauno na Mmewe akufyatue KUNDU hilo,SENGE sana wewe
Aina sababu ya kujibizana na wewe maana nimeshatambua ya kuwa kuna mahali kichwani mwako mishipa imeletwa au ilipata athari mbaya ya kichwa ambayo imekusababishia madhara ambayo ndio haya tunayaona hapa unapoandika.
 
Nawe nani kakudanganya kuwa tunahitaji kubinafsisha Mali ya urithi Kwa wageni???

Bandari zetu Si nyanya au uduvi kuwa zitatoa harufu ya uvundo zisiopobinafsishwa!!!
Andamana au nenda mahakamani maana naona kichwa chako hakielewi chochote au unaandika ukiwa na kilevi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…