Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa Mtu huyo,uachage UCHOKO shoga weweNdugu zangu Watanzania,
Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.
Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.
Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.
Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.
Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda. Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake, huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.
Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya. Hii ni Bahati, neema na baraka kwa wana Mbeya, kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane, wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa, tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.
Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt. Tulia Ackson mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi. Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Dkt Tulia ni mbunge anayejitambua na kutambua wajibu wake kwa wanambeya .Ndio maana unaona muda wote yupo pamoja na wananchi akisikiliza kero na changamoto pamoja na kuwapatia majibuAnarudisha Fadhila za Bwana wake kupewa kazi EWURA
hakika MACHOKO Nchi hii hayawezi kwisha,wewe ni kinara waoDkt Tulia ni mbunge anayejitambua na kutambua wajibu wake kwa wanambeya .Ndio maana unaona muda wote yupo pamoja na wananchi akisikiliza kero na changamoto pamoja na kuwapatia majibu
Huyu ndo makonda ,sabaya na wengine wa aina iyo wa sasa kwa serikali hii, ila yana mwisho mda ni mwalim mzuriDKT Tulia ni kiongozi mtulivu sana na mwenye akili kubwa ya kiuongozi anayestahili kuendelea kuaminiwa zaidi.
Mh! Una uhakika akina ndaga fijo wanamwelewa?Ndugu zangu Watanzania,
Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.
Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.
Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.
Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.
Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda. Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake, huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.
Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya. Hii ni Bahati, neema na baraka kwa wana Mbeya, kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane, wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa, tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.
Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt. Tulia Ackson mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi. Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kwani kwa akili yako hiyo kizibo unaweza kuniambia ni wapi nimezungumzia habari za ndoa hapa?Mke wa Mtu huyo,uachage UCHOKO shoga wewe
Wanamwelewa sana,wanamkubali sana na kumpenda sana .ndio maana unaona namna anavyopokelewa vizuri kwenye ziara zakeMh! Una uhakika akina ndaga fijo wanamwelewa?
Kuna haja mmewe akufyatue marinda hayo CHOKO wewe,Mwanaume rijali huwezi kushinda kutwa mitandaoni kusifikia Mke wa Mtu,MACHOKO hamtaisha Nchi hiiWanamwelewa sana,wanamkubali sana na kumpenda sana .ndio maana unaona namna anavyopokelewa vizuri kwenye ziara zake
Sawa nashukuru ,.Mungu akubariki na kukupatia maisha marefu yenye heri na barakaMsukule Bobevu.
Aaaa! WapiWanamwelewa sana,wanamkubali sana na kumpenda sana .ndio maana unaona namna anavyopokelewa vizuri kwenye ziara zake
peleka UCHOKO wako huko SHOGA wewe,kila siku Dr.Tulia Dr.Tulia,si ukamkatikie mauno na Mmewe akufyatue KUNDU hilo,SENGE sana weweSawa nashukuru ,.Mungu akubariki na kukupatia maisha marefu yenye heri na baraka
Afunue kinywa na kulitema bungo maana limekwama kooni.Ndugu zangu Watanzania,
Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini la wana nyanda za juu kusini mh Dkt Tulia Acksoni mwansasu.
Ameendelea kuuwasha moto na kutikisa viunga vya jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya wana Mbeya na yake ya kitaifa, ameendelea kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa hisia za watanzania wengi.
Na kwa kipindi hiki akiwa jukwaani ,akiwa imara,mwenye bashasha,furaha, Tabasamu na mwenye kujiamini ametoa Darasa la sheria hadharani juu ya uwekezaji wa Bandarini,amefafanua masuala ya kisheria juu ya vifungu mbalimbali na kueleza hoja kwa hoja juu ya vifungu na mambo ambayo yamekuwa yakipotoshwa na watu wenye nia ovu.
Kwa utulivu, upole na unyenyekevu amewatoa hofu wana Mbeya juu ya uwekezaji huo.Na katika kuwaelimisha zaidi akafikia hatua ya kusoma maamuzi ya mahakama yaliyotupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa mkoani Mbeya ikipinga uwekezaji huo,japo waliokuwa wameifungua walionyesha uwezo mdogo wa kisheria na ujenzi wa hoja katika kuishawishi mahakama,hali iliyopelekea kutupiliwa mbali kwa kesi yao isiyo na mashiko.
Nguli huyu wa sheria huku akiendelea kushangiliwa na kupigiwa makofi kila muda alipoongea katika kata ya itigi mkoani Mbeya, alifafanua masuala mbalimbali huku akiwaasa wana Mbeya kujiepusha na kutowaunga mkono watu wanaotaka kupandikiza mbegu za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, Dini na ukanda. Alitoa Rai kwa wana Mbeya kuendelea kumuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan pamoja na serikali yake, huku akieleza mipango na miradi mbalimbali inayotekelezwa na itakayotekelezwa na serikali yao ikiwepo ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mpaka Tunduma zenye urefu wa km zaidi ya 218.
Wana Mbeya kwa hakika wamepata zawadi ya kipekee sana kuwa na Dr Tulia ndani ya jiji la Mbeya. Hii ni Bahati, neema na baraka kwa wana Mbeya, kwani ni kupitia yeye tumeona namna yatima, wajane, wazee na vijana wakisaidiwa na kuwezeshwa, tumeona ni kupitia mikono yake ma miradi ya mabilioni yakiendelea kutekelezwa mkoani Mbeya,tumeona kupitia uwepo wake mkoani Mbeya jiji likipewa hadhi yake ya kiuwekezaji kutoka serikalini.
Sasa Mbeya ina meremeta na kumekameka, sasa wana Mbeya ni kama wote ni wana sheria wanaosubiri kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya sheria baada ya kila mara na wakati wote kupewa darasa la sheria bure kutoka kwa mwalimu na Daktari wa sheria Dkt. Tulia Ackson mwansasu mwalimu wa walimu wa sheria ,wakili wa mawakili wasomi. Hakuna kama Tulia mkoani Mbeya kwa sasa na hakuna mwenye ubavu wa kushindana na Dr Tulia katika sanduku la kura.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Anachosema kina ukweli au ni usomi TU.Ndugu zangu Watanzania,

Kwani nani kakudanganya kuwa zimeuzwa?Afunue kinywa na kulitema bungo maana limekwama kooni.
Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa, Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.
Kataa wahuni.
Kwanza karibu sana jukwaani kama mwanachama mpya wa jamii forum.karibu katika jukwaa linalohitaji kuwa na ngozi ngumu ya uvumilivu,maana humu utakutana na wengine wana matusi utafikiri wametoroka hospitali za vichaa kabla ya kumaliza matibabu. Kwa hiyo jiandae kwa yote. Lakini pia napenda kukwambia kuwa Dkt Tulia anaeleweka sana kwa wana Mbeya kwa kuwa amekuwa anaongea ukweli na uhalisia wa mambo.Anachosema kina ukweli au ni usomi TU.
Nawe nani kakudanganya kuwa tunahitaji kubinafsisha Mali ya urithi Kwa wageni???Kwani nani kakudanganya kuwa zimeuzwa?
Aina sababu ya kujibizana na wewe maana nimeshatambua ya kuwa kuna mahali kichwani mwako mishipa imeletwa au ilipata athari mbaya ya kichwa ambayo imekusababishia madhara ambayo ndio haya tunayaona hapa unapoandika.peleka UCHOKO wako huko SHOGA wewe,kila siku Dr.Tulia Dr.Tulia,si ukamkatikie mauno na Mmewe akufyatue KUNDU hilo,SENGE sana wewe
Andamana au nenda mahakamani maana naona kichwa chako hakielewi chochote au unaandika ukiwa na kilevi kichwaniNawe nani kakudanganya kuwa tunahitaji kubinafsisha Mali ya urithi Kwa wageni???
Bandari zetu Si nyanya au uduvi kuwa zitatoa harufu ya uvundo zisiopobinafsishwa!!!