shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Fcm mkiishiwa mnahamia kwenye ukabilaHakuna ukoo wa Mbilinyi mbeya, Mbilinyi Ni ukoo wa kikoloni uliokuja kutawala kikoloni watu wa mbeya mjini
Hakuna kwenye makabila yote ya wanambeya ukoo unaitwa Mbilinyi
Mkoloni Joseph Mbilinyi Sugu lazima afumgishwe virago .Tulia Ni ukoo wa wanambeya.
Mkoloni Sugu lazima sio hiari afumgishwe virago.Mbeya mjini sio koloni la watu wa kuja