Mama hawezi kumpa nafasi. Nadhani Mussa Hassan Zungu anakamata kitiWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Mussa Hassan Zungu apewe kura za ndioNani anafaa????
Kale Sukuma gang mama atakafyekelea mbaliKale kabibi hovyo kabisa. Kanaweza kakachukua form na kakapitishwa.
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Mussa Hassan Zungu apewe kura za ndio
Kila mtu hafai nyumbu mbona mnavituko hivyoWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Yeah akija huyu Tozo zinaongezeka mikopo inapungua. Mama ataupiga mwingiMbunge wangu Zungu
Tena afanye aje na tozo za mitandao yote ya kijamii😜😜😜
Tozo kwa maendeleo ya taifa
Nakuelewa, lakini wafu wanazidiana kunuka, aka kananuka sana kuliko wafu wengine CCM maana CCM wote ni wafu/watesi/wauajiLakini mkuu bunge la sasa si ni kama la CCM tu, maoni yako yangekuwa na tija wakati ule upinzani una nguvu bungeni...
CCM wenzake watampitisha tu huyu, na nina hisia huenda shinikizo kubwa la kutaka awe spika likachagizwa na dhana ya kuona mihimili miwili ya nchi kwa mara ya kwanza katika historia inaongozwa na wanawake...
CCM wote ni wafu, na huyu hafai, mfu kama wengineMbunge wangu Zungu
Tena afanye aje na tozo za mitandao yote ya kijamii😜😜😜
Tozo kwa maendeleo ya taifa
CCM wote ni wafu, na huyu hafai, mfu kama wengine
CCM msifanye makosa. Mpeni George Simbachawene uspika. Mtanishukuru baadaye
eti huyu ndiye awe spika! Mungu tuhurumie mwondoe mtesi huyu!
Mind, huo ni muhimili unaopashwa kisimamia serikali...Acha tu Mh Ndugai akubali na kukiri mitandao ina nguvu. Tusiangalie uchezaji na uvaaji angalia kichwani kuna nini? Itakuwa jambo la heri na Naibu Spika akae pembeni Mh SSH awe na watu wake anso wa amini. Hii itamsaidia kutekeleza majukumu yake kwa amani. Hata ikiwa Spika mpya atapatikaka mmoja ya ndugu au mkwe wake anayetimiza vigezo na sifa na awe Spika mpya wa JMT.