Dkt. Tulia hafai, ni zao la watesi wa upinzani na wapenda haki , amani na maendeleo, nalisema wazi

Dkt. Tulia hafai, ni zao la watesi wa upinzani na wapenda haki , amani na maendeleo, nalisema wazi

Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Mama hawezi kumpa nafasi. Nadhani Mussa Hassan Zungu anakamata kiti
 
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!

Lakini mkuu bunge la sasa si ni kama la CCM tu, maoni yako yangekuwa na tija wakati ule upinzani una nguvu bungeni...

CCM wenzake watampitisha tu huyu, na nina hisia huenda shinikizo kubwa la kutaka awe spika likachagizwa na dhana ya kuona mihimili miwili ya nchi kwa mara ya kwanza katika historia inaongozwa na wanawake...
 
Nakuelewa, lakini wafu wanazidiana kunuka, aka kananuka sana kuliko wafu wengine CCM maana CCM wote ni wafu/watesi/wauaji
 
Hako kadada kakavu kama kaukau za kwa somji hakatufai .alipewa jimbo kwa hila za marehhemu magufuli
Magufuli moto wa jehanam umuangamize ametutesa sanna wannanchi mshenzi yule.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Tulia ndio mjinga wa mwisho Bora Ndugai. Huyo ndo atakuwa puppet wa mama.. Yani katika makosa watakayo fanya Ni kumpa huyo kibibi hiyo nafasi. Nafasi inamfaa outsider asiyekuwa na chama.
 
Tulia hawezi kupewa, ni zao la mwendazake. Loyalty yake iko kwa mwenda zake. Watu wa hivyo mama hawataki na zaidi sana wanawake hawapendani. Hawezi kukubali kuweka mtu mwingine wa mipasho kwenye mhimili mwingine.
Mussa Zungu pia hawezi kupewa, hata udini huwa unazingatiwa kwenye mifumo.wafia dini watawasha moto akipewa na maaskofu watawaka, serikali itaonekana ina udini. Rais, waziri mkuu, jaji mkuu na spika wote wawe waislamu. Zungu atanyimwa pia. Tutaletewa jina la kawaida kabisa mwanaume mkristu kutoka bara. Mtu ambaye hana record na hatajwi tajwi sana.
 
CCM msifanye makosa. Mpeni George Simbachawene uspika. Mtanishukuru baadaye
 
eti huyu ndiye awe spika! Mungu tuhurumie mwondoe mtesi huyu!

Acha tu Mh Ndugai akubali na kukiri mitandao ina nguvu. Tusiangalie uchezaji na uvaaji angalia kichwani kuna nini? Itakuwa jambo la heri na Naibu Spika akae pembeni Mh Rais SSH awe na watu wake anao wa amini. Hii itamsaidia kutekeleza majukumu yake kwa amani. Hata ikiwa Spika mpya atapatikana mmoja ya ndugu au mkwe wake anayetimiza vigezo na sifa na awe Spika mpya wa JMT.
 
Acha tu Mh Ndugai akubali na kukiri mitandao ina nguvu. Tusiangalie uchezaji na uvaaji angalia kichwani kuna nini? Itakuwa jambo la heri na Naibu Spika akae pembeni Mh SSH awe na watu wake anso wa amini. Hii itamsaidia kutekeleza majukumu yake kwa amani. Hata ikiwa Spika mpya atapatikaka mmoja ya ndugu au mkwe wake anayetimiza vigezo na sifa na awe Spika mpya wa JMT.
Mind, huo ni muhimili unaopashwa kisimamia serikali...
 
Back
Top Bottom