Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simply..hakunaaaNani anafaa humo CCM?
Kale kabibi hovyo kabisa. Kanaweza kakachukua form na kakapitishwa.Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Na hafai kweli hebu muone hapaWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Good question.Nani anafaa humo CCM?
Kwa kuua separation of power aliyofanikiwa kuifanya leo, SAMIA ata dictate nani awe kibaraka wake kama spika!Kale kabibi hovyo kabisa. Kanaweza kakachukua form na kakapitishwa.
Atakuwa anatengeneza miwani yake kutaka kujaza fomu ya kuomba "uswipika"!😂😂😂😂Tena huyu kigagula ndiyo mbaya mara mia nane
eti huyu ndiye awe spika! Mungu tuhurumie mwondoe mtesi huyu!Na hafai kweli hebu muone hapaView attachment 2071011
Betina hafaiNa hafai kweli hebu muone hapaView attachment 2071011
ShunieAnayefaa nani sasa
... wazanzibari wana nafuu!Anayefaa nani sasa
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!