Basi upewe wewe naona unafaaWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi upewe wewe naona unafaaWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Kumpa Tulia Uspika bors apewe Chenge.Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Apewe Tulia Ili awatulize na kuwanyosha...Anayefaa nani sasa
Kweli kabisa, tena Tulia ndo joka la mdimu lile na sura yake mbayaWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Hakuna hata mmojaNani anafaa humo CCM?
Nikikumbuka uchaguzi mkuu nawachukia MACCM yoteWote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Mkuu hii ni personal attack, kama hafai unatoa hoja zako tu......hata wewe unastarehe zako japo wanaokuangalia wanakuona ovyo tu, so ni vizuri kujadili kwa hojaNa hafai kweli hebu muone hapaView attachment 2071011
Zungu.Nani anafaa????
Eenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie
Na hafai kweli hebu muone hapaView attachment 2071011
Wasithubutu huyu ni nyoka mweusiAtakuwa anatengeneza miwani yake kutaka kujaza fomu ya kuomba "uswipika"!😂😂😂😂
Bora hata Babu Tozo ilalaNani anafaa humo CCM?
Hivi hapo alikuwa tayari Naibu,Mbona alijishushia heshima sana kucheza kadamnasi kwa nafasi yakeHivi ni nani anamhemea kifuani…?
Amnyooshe nani? Mmebaki wenyewe hukoApewe Tulia Ili awatulize na kuwanyosha...
Samia alichaguliwa na nani?Kale kabibi sikapendi....Ni moja ya washenzi walichaguliwa na Magufuli..
KinanaNani anafaa humo CCM?