Dkt. Tulia hafai, ni zao la watesi wa upinzani na wapenda haki , amani na maendeleo, nalisema wazi

Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Basi upewe wewe naona unafaa
 
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Kumpa Tulia Uspika bors apewe Chenge.
 
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
Nikikumbuka uchaguzi mkuu nawachukia MACCM yote
 
Back
Top Bottom