Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

Tulia ukilala unasali kwa roho na kweli? Hujajifunza tu ya Job? Cheo ni dhamana na WAKATI SI MILELE!
Yuko wapi Job leo hii
Yuko wapi Sabaya
Yuko wapi Bashite....
Yako wapi mafirauni yote yaliyotamba kwa nyakati zao?
Mi nakiombea hicho kibibi kipate hata ajali kitoweke kabisa kwenye uso wa dunia
 
Hakuna bunge hapo zaidi ya ujinga tupu
 
Mkuu NEW order, Mimi licha ya kosomea sheria UDSM na kuhitimu LL.B Hons, sijitambulishi kama Mwanasheria, bali Mwandishi wa habari wa kujitegemea, kwasababu I'm not a practising lawyer.

The plans was stuck out kwa sababu ni defective kama ilivyo void and voidable. Void is incurable while voidable is curable.

Kule nyuma niliwahi kushauri Spika wa Bunge la JMT lazima awe Mwanasheria mbobezi. Thank is what Dr. Tulia Akson is doing.

Sifa za kuwa Mbunge ni lazima kwanza uwe ni mwanachama wa chama cha siasa, ukipoteza uanachama wa chama cha siasa, automatically unapoteza ubunge.

Alichofanya Spika Tulia kwenye hili ni kukalia Kiti cha Jaji kwenye kutoa haki, baaya ya kupokea taarifa ya kina Mdee kufile case, akawapa a temporary injunction kuizua Chadema isiwatimue kusubiria aumuzi wa mahakama.

Uamuzi huu pia unawasa DCidia kina Mdee wasi saffer irreparable damage iwapo wangefutwa ubunge.

She is very right.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…