Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Naunga mkono hoja..Kesi itapigwa dana dana hiyo mpaka baada ya uchaguzi wa 2025 ndiyo itamalizika.
Majaji watusaidie kesi iende taratibu mpaka 2030.
Majaji wasituangushe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja..Kesi itapigwa dana dana hiyo mpaka baada ya uchaguzi wa 2025 ndiyo itamalizika.
Wewe mbona hukununua kakipande kadogo kama chato ili uzikwe na Jiwe lako?Hivi umesikia hotel walizokwenda kulala samia na kikosi chake huko MAREKANI ?Halafu anakuja huku kusema maisha magumu?@Tindo nchi imeuzwa Kwa waarabu wa dubai
Hilo kwanza, je wale walienda mahakamani? Napenda kufahamu isije kuwa tunalinganisha maji na mafuta.Tupo awamu ya sita, tunafuata sheria.
Duuuuh hii nchi haiishi vituko, kwahiyo wanahudhuria vikao vya bunge kwa tiketi ya chama gani?? Tuanzie hapo, sababu kwa kauelewa kangu kadogo nadhani Spika alitakiwa kuwasimamisha hadi swala lao liishe huko mahakamani ndio warudi. Unakuwa uhuni kuchezea kodi zetu, nani atarudisha izo fedha endapo wakishindwa iyo kesi mahakamani???MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
"Walivuliwa uanachama kwa kutii sheria ya viti maalum"??Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Ingekuwa mimi ningeendaWale wabunge wa CUF wawahi mahakamani pia
"Walivuliwa uanachama kwa kutii sheria ya viti maalum"??
Nafasi hizo ni za chama,jimbo lao Hawa ni chama,Chadema,Chadema haikupeleka majina,wao wamefikaje bungeni?wengine walikuwa jera walisaini karatasi wakati gani? Forgery tupu.
Upinzani wa nchi hii ni majanga matupu.Nyie nafasi hamzitaki, acheni roho mbaya sasa mlitaka zikae wazi Tu mpaka lini?
Nafasi hamzitaki na wakina mdee mmewafukuza sasa mnalialia nn?
Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Yes coz chama kilivunja sheria ya kutotiii kupeleka wabunge wa viti maalum, Kwa sababu zao binafsi
Hujielewi kabisa Bora ukae kimya tuu itakusaidia kuwaza mengineWale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
HujielewiWale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
well,So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
well,
kwahiyo nani aliwachagua wao?
Wakati mwingine ni bora kuficha upeo wako mdogo wa kuchanganua mambo, unabaki kujidharirisha na hujui hata unaloliongelea. Ni wajibu wa chama husika kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum bungeni. Kinyume cha hapo hao si wabunge halali kwani hawana chama wanachokiwakilisha, si kazi ya serikali wala chama tofauti kufanya kazi hiyo kwa niaba ya chama husikaKaka wala no need ya hasira
Haya yote chanzo ni chadema wenyewe, yote mnayoongea yanaweza kuwa Sawa Ila mnasahau kuwa tuko Africa, hapa sio ulaya au marekani
Kesi itaendeshwa na wakina mdee watashinda
Mbowe angekuwa smart angewasamehe Tu nakuwambia wapige michango Yao kama zaman wachukue ruzuku zao then wajipange upya