UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Lipumba hajaitwa kaomba kwenda kuonana na Mother.Na watasema walichoongea naye kwa ufasaaKamwita na lipumba nae kamwita kwasababu hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipumba hajaitwa kaomba kwenda kuonana na Mother.Na watasema walichoongea naye kwa ufasaaKamwita na lipumba nae kamwita kwasababu hiyo?
Ni kwa sababu wale wa CUF hawakwenda mahakamani sa hawa wakwenu wameenda huko, waache wapewe haki ya kusikilizwa maana mlidai bila kumsikiliza mtu ni udikteta. 😁Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Jibu lake subiri mahakamani
Lipumba hajaitwa kaomba kwenda kuonana na Mother.Na watasema walichoongea naye kwa ufasaa
Hiyo ni sawa kulingana na ufupi wa akili yako, huwezi kuwaza nje ya box hilo!
Ni kweli ni jambo la kisheria..lakini ni pale tu chama kinapotambua uhalali wa uchaguzi unaopelekea wao kupata hivyo viti maalum, Chadema hadi leo hawautambui uchanguzi wa 2020, kwa hivyo wangetimiza takwa hili la sheria wasingekuwa na hoja ya kutotambua uchaguzi ule...hold on hivi yule mbunge wao mmoja anafanya nini bungeni....au chadema wanatambua ushindi wake! More confusion!Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge
Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria
So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum
Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Je wabunge wa CUF walienda mahakamani hima? Kama walienda mahakamani kupinga kufukuzwa basi hapo kuna double standards! Bila hivyo hakuna.Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Ina tokana na kuheshimu utawala bora ndiyo sababu ya milolongo hiyo. Ingekuwa ni udikteta siku hiyo wangefukuzwa bungeni na kucharazwa viboko sita sita! Sasa wewe unataka kipi hapo?Je ikionekana wamefukuzwa kihalali hizi Siku watakazoingia bungeni Hadi uamuzi huoni Kodi yetu itakua imeenda bure Kwa malipo yao
Itikadi Ni imani, Mazaa!Hata Baba yako angewaza hivi hivi kama mm, ww tangu umekuwa mwanachama Una kipi cha kusema umefaidika na uanachama wako?
CAG alipokagua hesabu za hiki Chama alisema Mbowe anatumbua kwenye Mikutano isiyo na tija?Wewe una hoji kuhusu kodi,mbona hauoji kuhusu chama cha upinzani tena kikuu kinapewa Ruzuku ila hawajengi ata Ofc wamebaki na kimgahawa pale ufipipa,mbona hauoji kuhusu hela walipewa na Sabodo 400mln na bado hawajenga Ofc,vipi kuhusu michango ya wanachama wanayochanga kila mara Mbowe anaishia kuitumbua kwenye mikutano hisiyo kuwa na Tija?.
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
View attachment 2227166
Ni kweli kuna tatizo sana kwenye taifa letu, na matabaka yaliimarisha na uadui mkubwa ulojengwa na awamu ile! Kuondoa matabaka yale tu, tufikie uwanja na mapambano kuna kazi! Tukubaliane kwamba, Mbowe, pamoja na mapungufu yoyote anayoweza kuwa nayo, amebatizwa kwa moto kwenye ile kesi ya mchongo!Mkuu nashukuru kwa kunifunga speed govenor naheshimu hisia zako, lakini hata ningefanya subira kama unavyoshauri, bado siwezi kubadilisha nilichosema.
Ukiachana na siasa chafu , za kishamba na za kipumbavu zinazosimamiwa na viongozi wa ccm, Tanzania ni moja ya nchi Tajiri sana. Kama focus ingewekwa kwenye utumiaji wa rasilimali tulizonazo kwa maendeleo ya taifa letu.Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?
Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!
Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Wewe ukiteuliwa Ubunge na Rais au Ndugai ungekataa ?Uko sahihi, kama unafanya siasa za tumbo ungeenda ccm kabisa, maana huko tumbo ndio mbele. Ww inaonekana ni mzee ndio maana huamini katika mabadiliko, hivyo haya yanayoendelea kwako unaona ni sawa na hutaki yabadilike maana umefikia mwisho kutaka mabadiliko kutokana na umri.
Wewe ukiteuliwa Ubunge na Rais au Ndugai ungekataa ?
Mi sijapata kuona katika hii nchi yetu kabisa.
Mbatia akiwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi aliyeuliwa Ubunge na Kikwete mbona hakukataa.
Siasa za Tanzania hazijafikia hatua ya kutanguliza maslahi ya upinzani
Kama Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu kama Maalim Seif wanashindwa kuishi bila teuzi za CCM wewe utaweza ?
Wewe umemzidi uzalendo Maalim Seifu ?
Ndio maana Nchi hii kuitoa CCM madarakani inashindikana.
Karibu asilimia 99 ya wanamageuzi wanafikiria matumbo yao tu.
Hebu nijibu.
Mbowe ni Mwenyekiti wa kuchaguliwa au wa Milele ?
Ni kwanini haitoshi uchaguzi wa mwwnyekiti wakati muda wake imeisha ?
Katiba ya Chadema unaruhusu Mwenyekiti kutumikia awamu ngapi ?
Nenda kwa Mwenyekiti Marando, Lyatonga, Cheyo, Yule Mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe nk.
Mbona wote hawataki kuachia madaraka na wewe kama huoni vile
Halafu mnakuja kuwanyooshea vidole akina Mdee.
Siasa za Upinzani za hapa nchini ni za kujikimu na Njaa tu.
La wapinzani wangesha chukua Dola siku nyingi sana.
Ona wanavyohangaika watu wazito sana akina Lowasa, Sumaye, Membe, Lyatonga, W. Slaa, Mbatia, nk.
Sembuse akina Mdee.
Sembuse raia tu.
Kinacho waponza akina mdee ni wivu tu. Watu walitaka wawateue watu wao kwenye hizo nafasi.

Eti NimepanikiSielewi hata unaoongea nini zaidi ya kuona umepanic.
Eti Nimepaniki
Na hutoweza kunielewa.
Kwakuwa umeziba masikio kusikiliza kwa makini nilicho kisema.