Nadhani waliangalia population ya watu! Au?Amezungumza kweli mbeya kuitwa jiji sijafahamu walitumia vigezo gani kimiundombinu bado sana.
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani waliangalia population ya watu! Au?Amezungumza kweli mbeya kuitwa jiji sijafahamu walitumia vigezo gani kimiundombinu bado sana.
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Mimi sio mwanasiasa,lakini alichosema muheshimiwa Dr Tulia ni sahihi kabisa,maparachichi yanatoka Mbeya,Njombe,Songea,mahindi,chai,kahawa,ndizi,maharage,magimbi nk,lakini miundo mbinu toka uhuru hadi sasa kimya,na huku kodi ikitakiwa sana.Na vilevile ni mkoa uliokaribu na mipaka ya nchi mbili!Iweje iwe na miundo mbinu mibovu huku tunataka kodi?Waziri alione hili bila kigugumizi wala soni.Kazi iendelee.
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Unatoa na kamfano kiongozimamikoa mingine ni mizigo tu lkn inatengenezwa vizuri
Mfuatilie kaka yake Tulia kuanzia dakika ya 5-13Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote
Muda haukufika wa kuongea!Na kaongea ni kweli tupu100%!alikuwa wapi siku zote asiongee..anyamaze tuiponye nchi kwanza , angeongea kipindi cha awamu ya tano ndo tunemskiliza vizuri
Pamoja na mimi kutoka kanda pendwa lakini Tulia kasema kweli.
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Ahsante mkuuPamoja na mimi kutoka kanda pendwa lakini Tulia kasema kweli.
Msilete hizoo!Hayati Mwl. Nyerere alisema kuna watu tabia yao ni kudai tu, wanadai, wanadai hata bila ku reason, ni kudai na kudai hata bila kuangalia resources kama zinakidhi hayo wanayodai.
Sasa huyu tulidhani angekuwa mhubiri na mwelimishaji kwa wananchi kujifunza kuwa na subira, lakini ndiye huyo!!!
Wakati watu wanalalamika kuwa jiwe linapendelea kanda maalum hawa ndio walikuwa wanatunanga kwa kusema hata chato ni Tanzania na wote waliohoji wakahusishwa na Uchaga/Kilimanjaro. Leo ni nini kimemkuta tena
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Siku zote ni pamoja na leo bwashee!alikuwa wapi siku zote asiongee..anyamaze tuiponye nchi kwanza , angeongea kipindi cha awamu ya tano ndo tunemskiliza vizuri
Asante Dr Tulia , at last Mbeya tumepata sauti ya kudai na sisi maendeleo ya Jiji kama ilivyo Mwanza, ARusha na hata Dar es salaam.
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Ndio maana amesema " tumechoka kushangilia"Wakati watu wanalalamika kuwa jiwe linapendelea kanda maalum hawa ndio walikuwa wanatunanga kwa kusema hata chato ni Tanzania na wote waliohoji wakahusishwa na Uchaga/Kilimanjaro. Leo ni nini kimemkuta tena
KUna mtu alisema itafika siku tutaimba wimbo mmojaNdio maana amesema " tumechoka kushangilia"
Ahsante bwasheeAsante Dr Tulia , at last Mbeya tumepata sauti ya kudai na sisi maendeleo ya Jiji kama ilivyo Mwanza, ARusha na hata Dar es salaam.
Kwa makusudi toka Awamu ya Pili, Tatu na Nne na Tano HAKUNA uwekezaji wa maana ulioingia Mbeya, si barabara , viwanda au hata huduma za kiwango cha kitaifa.
Salamu zimfikie Sugu ambaye alikuwa anazungusha tu makalio na kutukana watu mle jengoni.
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Dr Tulia hajamtaja Sugu bali ameilalamikia serikali!Salamu zimfikie Sugu ambaye alikuwa anazungusha tu makalio na kutukana watu mle jengoni.
Na je ya kati hakuna magofu na majengo kama vibanda umiza lakini wanajengewa treni ya umeme,kumbuka mikoa ya nyanda za juu kusini ndio zamani ikiitwa big 4 na sasa ni big 6, tunawalisha nyie wote, na tunalipa kodi zaidi hata ya hao ambao unawakingia kifua.Bora hata wangeililia watu wa kutoka Tanga, Kilimanjaro na Arusha! Ila siyo Nyanda za Juu Kusini! Maana hao wamejengewa treni ya kisasa kabisa ya TAZARA! Lakini wameshindwa kuishawishi Serikali kuiboresha ili iwe na tija.
Leo hii ukisafiri na treni ya TAZARA, utashuhudia tu magofu ya majengo kwenye stesheni zake, na huduma mbovu! Huku abiria na mizigo ikiwa ni ya kutosha tu.