PreGE2025 Dkt Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa haki.

1748413378651.png
​
Kauli hiyo ameitoa Mei 27, 2025 wakati akitoa salamu za Serikali katika ibada ya mazishi iliyofanyika katika Kanisa la TAG-Jerusalemu Mudio, lilipo katika kata ya Masama, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.

"Kwa sababu huko mbele tunao uchaguzi niwaombe sana, pamoja na kwamba huwa mnatuombea sana sisi viongozi lakini pia mnaliombea Taifa letu, niwaombe mwaka huu tuliombee zaidi Taifa letu, mwaka huu tuwaombee viongozi watakaopatikana kupitia uchaguzi wa haki,"

Amesema, "lakini hao watakaopatikana kwa haki Biblia imetuagiza kuheshimu wenye mamlaka, ni vizuri sana sisi tumjuao Kristo kupanga nini cha kusema, cha kufanya, kujua namna ya kuenenda mbele ya viongozi wetu, wewe umjuaye Kristo usiwe sehemu ya kulikosea neno."

Akiendelea na salamu za Serikali Dk Tulia, amewataka pia Watanzania kuwaombea viongozi watakaopatikana kwa haki katika uchunguzi huo wa Rais, wabunge na madiwani.

"Wakati mwingine Mungu atatupa neema, hata wale wafalme wa zamani, sasa hivi ni viongozi wa nchi zetu kwa hiyo unavyowasoma wale na yale mamlaka yao na nguvu yao amini kwamba neno linaposema umuheshimu mwenye mamlaka ni kwa sababu hakuna mamlaka isipokuwa itokayo kwa Mungu,"amesema Dk Tulia.

Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, siku na mwezi sawa na aliyofariki mke wake, Evagrace mwaka 2017.

Askofu Lazaro ambaye amezikwa Mei 27,2025 katika eneo la Kanisa la TAG -Jerusalemu Modio Masama, alianza huduma za kiroho mwaka 1959, na mpaka anastaafu huduma hiyo mwaka 2019 alikuwa amefikisha miaka 60 ya utumishi wake.
 
Kwa haki gani hizo anazozisema,ambazo CCM ndiyo inayosimamia utaratibu mzima wa uchaguzi?maana ingekuwa kwa haki kweli hata yeye asingekuwepo mjengoni sasa hivi
 
Kinafiki kabisa
Si kilisema dini zinaingilia siasa?
Vipi leo dini ziwe na umuhimu kwa siasa?
 
Uchaguzi au uchafuzi
No reforms no election
Yeye mwenyewe hakupatikana kwa haki, ni kwa uchafuzi wa yule kichaa jiwe aliyevuruga demokrasia nchini Tena kwa kutangaza hadharani kuwa mkurugenzi nikupe gari, mshahara, nyumba, unitangazie mpinzani ameshinda? Achomwe moto huko kuzimu kwa kutupatia bunge la kisengerema namna hii! Katiba mabovu sana hii!
 
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa haki.

Kauli hiyo ameitoa Mei 27, 2025 wakati akitoa salamu za Serikali katika ibada ya mazishi iliyofanyika katika Kanisa la TAG-Jerusalemu Mudio, lilipo katika kata ya Masama, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.

"Kwa sababu huko mbele tunao uchaguzi niwaombe sana, pamoja na kwamba huwa mnatuombea sana sisi viongozi lakini pia mnaliombea Taifa letu, niwaombe mwaka huu tuliombee zaidi Taifa letu, mwaka huu tuwaombee viongozi watakaopatikana kupitia uchaguzi wa haki,"

Amesema, "lakini hao watakaopatikana kwa haki Biblia imetuagiza kuheshimu wenye mamlaka, ni vizuri sana sisi tumjuao Kristo kupanga nini cha kusema, cha kufanya, kujua namna ya kuenenda mbele ya viongozi wetu, wewe umjuaye Kristo usiwe sehemu ya kulikosea neno."

Akiendelea na salamu za Serikali Dk Tulia, amewataka pia Watanzania kuwaombea viongozi watakaopatikana kwa haki katika uchunguzi huo wa Rais, wabunge na madiwani.

"Wakati mwingine Mungu atatupa neema, hata wale wafalme wa zamani, sasa hivi ni viongozi wa nchi zetu kwa hiyo unavyowasoma wale na yale mamlaka yao na nguvu yao amini kwamba neno linaposema umuheshimu mwenye mamlaka ni kwa sababu hakuna mamlaka isipokuwa itokayo kwa Mungu,"amesema Dk Tulia.

Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, siku na mwezi sawa na aliyofariki mke wake, Evagrace mwaka 2017.

Askofu Lazaro ambaye amezikwa Mei 27,2025 katika eneo la Kanisa la TAG -Jerusalemu Modio Masama, alianza huduma za kiroho mwaka 1959, na mpaka anastaafu huduma hiyo mwaka 2019 alikuwa amefikisha miaka 60 ya utumishi wake.
Utadhani anayoongea mdomoni yanatoka moyoni
 
Tulia asiwaingize viongozi wa dini kwenye huo ushetani wao wa kutafuta uongozi kwa njia za kishetani za kuwateka na kuwaua watu.

Huyu alitahwa na Mdude kuwa amewatafuta watu wamteke na kumwua..
 
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa haki.

Kauli hiyo ameitoa Mei 27, 2025 wakati akitoa salamu za Serikali katika ibada ya mazishi iliyofanyika katika Kanisa la TAG-Jerusalemu Mudio, lilipo katika kata ya Masama, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.

"Kwa sababu huko mbele tunao uchaguzi niwaombe sana, pamoja na kwamba huwa mnatuombea sana sisi viongozi lakini pia mnaliombea Taifa letu, niwaombe mwaka huu tuliombee zaidi Taifa letu, mwaka huu tuwaombee viongozi watakaopatikana kupitia uchaguzi wa haki,"

Amesema, "lakini hao watakaopatikana kwa haki Biblia imetuagiza kuheshimu wenye mamlaka, ni vizuri sana sisi tumjuao Kristo kupanga nini cha kusema, cha kufanya, kujua namna ya kuenenda mbele ya viongozi wetu, wewe umjuaye Kristo usiwe sehemu ya kulikosea neno."

Akiendelea na salamu za Serikali Dk Tulia, amewataka pia Watanzania kuwaombea viongozi watakaopatikana kwa haki katika uchunguzi huo wa Rais, wabunge na madiwani.

"Wakati mwingine Mungu atatupa neema, hata wale wafalme wa zamani, sasa hivi ni viongozi wa nchi zetu kwa hiyo unavyowasoma wale na yale mamlaka yao na nguvu yao amini kwamba neno linaposema umuheshimu mwenye mamlaka ni kwa sababu hakuna mamlaka isipokuwa itokayo kwa Mungu,"amesema Dk Tulia.

Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, siku na mwezi sawa na aliyofariki mke wake, Evagrace mwaka 2017.

Askofu Lazaro ambaye amezikwa Mei 27,2025 katika eneo la Kanisa la TAG -Jerusalemu Modio Masama, alianza huduma za kiroho mwaka 1959, na mpaka anastaafu huduma hiyo mwaka 2019 alikuwa amefikisha miaka 60 ya utumishi wake.

Uchaguzi wa Haki Tanzania??

Hivi huyu Mwanamke ameanza kuugua kichaa au ? Tangu lini hasa Utawala wa Tanzania umewahi kuendelesha Uchaguzi wa Haki?
Anaota huyu Mwanamke.
 
Back
Top Bottom