PreGE2025 Dkt Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yani haki imeanza kuvurugwa mwanzoni kabisa mwa uteuzi kwenye chama chao. Alafu kwani mungu huwa hana kazi zingine za mufanya? Mungu alishamaliza kila kitu,alitupa akili ya utambuzi so uamuzi ni wetu.
 
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣 πŸ˜‚ sikujua hili, kumbe mhe nae ana amini katika maombi? Interesting
 
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣 πŸ˜‚ sikujua hili, kumbe mhe nae ana amini katika maombi? Interesting
 
Huu mshumaa una mambo ya kijinga sana.
 
Hatuombei chochote maana wewe mwenyewe umenukuliwa ukisema kwa kipindi hiki cha uchaguzi hapo tayari kwenda mbinguni. Ulimaanisha kwamba mtaiba kura na kufanya chochote haramu alimradi mshinde uchaguzi! Watu aina yenu hatuwahitaji kabisa! Na kwa dhihaka yako kwa Mungu impendeze akusogeze mbele ya Baraza la haki mbinguni ukachukue tiketi yako tayari kwa safari ya kwenda kwenye moto wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…