Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza kupaniki kwamba umedharauliwa.

Sasa wewe ni Kiongozi gani IPU udharauliwe na sasa unatangaza rasmi kudharaulia na Mawaziri ndani ya Bunge lako hii ni kutokana na uwezo wa kuongoza huo mhimili huna na wanajua wewe unajipendekeza kwa Rais ili akutetetee kwenye ubunge na kukupa tena zawadi ya uspika.

Ulipomfukuza Mpina bungeni kwa hila kisa amewasema watu wako ambao ni mawaziri sijui unanufaika nao vipi hilo unalijua wewe kwa akili yako ukadhani unamkomoa Mpina matokeo yake umetengeneza bunge la kuwashangilia mawaziri hata kama wamekosea kwa kiasi gani.

Leo unawafokea mawaziri kwa sababu hawakutafuti tena ili uwasaidie kumbana Mpina bungeni asiwasumbue na kuumbua udhaifu wao na upigaji wao wa fedha za umma kwa sababu mpina hayuko bungeni.

Ripoti ya CAG iliyojaa kashfa lukuki za mawaziri wa Kilimo, Fedha, Ujenzi, Uchukuzi, Tamisemi nk lakini umejionea wewe mwenyewe uchangiaji wa wabunge wote kwenye mjadala wa ripoti ya CAG wamejificha kuwaulaumu wakurugenzi wa halmashauri wakawaacha Mawaziri na wakuu wa mashirika waliokumbwa na kashfa za ufisadi, HIVYO imekuwa ni vigumu mawaziri kukutafuta wewe Spika ili uwasaidie na ndio maana wamelidharau Bunge kwa sababu wanajua Mpina hayupo bungeni na hivyo kama kulikuwa na fursa yoyote unaipata kutoka kwa mawaziri umeikosa msimu huu ndio maana una paniki na kuanza kuwafokea kwa utoro bungeni.

Leo sasa bila kujua ndio utaona faida ya wabunge aina ya Mpina ambao wanaibua tuhuma nzito na mawaziri wanakimbilia kwako kuomba msaada wa kumdhibiti bungeni ili wapone sasa leo fursa hiyo umeikosa.

View: https://youtu.be/bEK__Mdc2xw?si=vM5-6FnO8MRpdt5E
 
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza kupaniki kwamba umedharauliwa
Who mandated you to go Russia?

Mbunge wa Iraq
 
Ni moja ya result za kubebana, hao wahusika wanajua no matter how much wakivurunda watatetewa
wamewalea wenyewe
 
Ndo umuhimu wa katiba mpya kwenye kipengele cha kwamba Mawaziri wasitokane na wabunge
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Dr Tulia Akson ni miongoni mwa maspika bora zaidi ya Nancy Pelosi wa huko Marekani.

Uzuri wa msomi kama Dr.Tulia Aksoni ana uwezo mkubwa mno wa kusense, kuasess au kupima results au outcome za uamuzi wake makini sana wa kisheria.

Dr Tulia Akson hawezi kubabaika na waziri au Naibu wa waziri kwenye jambo lenye maslahi mapana ya Taifa.

Anayo capacity ya kufoka foka IPU, anayo spirit na capacity ya kuwafokea na kuwaonya mawaziri na manaibu wao.

Na infact,
anaweza kuinfluence mawaziri na manaibu wazembe kubanduliwa na mamlaka ya uteuzi, but not mchapakazi hodari makini like me 🐒
 
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza kupaniki kwamba umedharauliwa.

Sasa wewe ni Kiongozi gani IPU udharauliwe na sasa unatangaza rasmi kudharaulia na Mawaziri ndani ya Bunge lako hii ni kutokana na uwezo wa kuongoza huo mhimili huna na wanajua wewe unajipendekeza kwa Rais ili akutetetee kwenye ubunge na kukupa tena zawadi ya uspika.

Ulipomfukuza Mpina bungeni kwa hila kisa amewasema watu wako ambao ni mawaziri sijui unanufaika nao vipi hilo unalijua wewe kwa akili yako ukadhani unamkomoa Mpina matokeo yake umetengeneza bunge la kuwashangilia mawaziri hata kama wamekosea kwa kiasi gani.

Leo unawafokea mawaziri kwa sababu hawakutafuti tena ili uwasaidie kumbana Mpina bungeni asiwasumbue na kuumbua udhaifu wao na upigaji wao wa fedha za umma kwa sababu mpina hayuko bungeni.

Ripoti ya CAG iliyojaa kashfa lukuki za mawaziri wa Kilimo, Fedha, Ujenzi, Uchukuzi, Tamisemi nk lakini umejionea wewe mwenyewe uchangiaji wa wabunge wote kwenye mjadala wa ripoti ya CAG wamejificha kuwaulaumu wakurugenzi wa halmashauri wakawaacha Mawaziri na wakuu wa mashirika waliokumbwa na kashfa za ufisadi, HIVYO imekuwa ni vigumu mawaziri kukutafuta wewe Spika ili uwasaidie na ndio maana wamelidharau Bunge kwa sababu wanajua Mpina hayupo bungeni na hivyo kama kulikuwa na fursa yoyote unaipata kutoka kwa mawaziri umeikosa msimu huu ndio maana una paniki na kuanza kuwafokea kwa utoro bungeni.

Leo sasa bila kujua ndio utaona faida ya wabunge aina ya Mpina ambao wanaibua tuhuma nzito na mawaziri wanakimbilia kwako kuomba msaada wa kumdhibiti bungeni ili wapone sasa leo fursa hiyo umeikosa.

View: https://youtu.be/bEK__Mdc2xw?si=vM5-6FnO8MRpdt5E

What I know is Tulia ackson is one the worst and most hopeless speaker our country has ever had.
 
Tulishamuelewa huyu kwa jinsi alifanya hila kupitishwa ile sheria ya kuwapa dubai bandari zote za nchi yetu waendeshe kama mali yao. Mungu tu alinusuru. Wengi tunaamini ni baada ya mama kushituka na kumtaka wasiendelee na dili hilo lao kwa kusimamisha ule mpango wa kufuta sheria iliyokua inaharamisha huo mpango wa kuwapa dubai bandari zetu. Ndio kusema tulia sio mzalendo ni fisadi tu. Hata ukiona jinsi alivyowalinda mawaziri wale wa kilimo bashe na yule wa fedha kwa shutuma ya ufisadi na badala ya wao kuwajibishwa akageuza kibao kwa Mpina mtu mzalendo na hatimae kumtimua bungeni. Hakika ni mambo ya kusikitisha kumuhusu huyu speaker.
 
Back
Top Bottom