Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahLaana zilianzia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahLaana zilianzia hapa
Katika hali ya confusion unajikuta una rusha maneno tu.Mtoa hoja ni mbunge wa Iraq lakini nasikia 'eti' yeye akaishia kushambulia westerners
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza kupaniki kwamba umedharauliwa.
Sasa wewe ni Kiongozi gani IPU udharauliwe na sasa unatangaza rasmi kudharaulia na Mawaziri ndani ya Bunge lako hii ni kutokana na uwezo wa kuongoza huo mhimili huna na wanajua wewe unajipendekeza kwa Rais ili akutetetee kwenye ubunge na kukupa tena zawadi ya uspika.
Ulipomfukuza Mpina bungeni kwa hila kisa amewasema watu wako ambao ni mawaziri sijui unanufaika nao vipi hilo unalijua wewe kwa akili yako ukadhani unamkomoa Mpina matokeo yake umetengeneza bunge la kuwashangilia mawaziri hata kama wamekosea kwa kiasi gani.
Leo unawafokea mawaziri kwa sababu hawakutafuti tena ili uwasaidie kumbana Mpina bungeni asiwasumbue na kuumbua udhaifu wao na upigaji wao wa fedha za umma kwa sababu mpina hayuko bungeni.
Ripoti ya CAG iliyojaa kashfa lukuki za mawaziri wa Kilimo, Fedha, Ujenzi, Uchukuzi, Tamisemi nk lakini umejionea wewe mwenyewe uchangiaji wa wabunge wote kwenye mjadala wa ripoti ya CAG wamejificha kuwaulaumu wakurugenzi wa halmashauri wakawaacha Mawaziri na wakuu wa mashirika waliokumbwa na kashfa za ufisadi, HIVYO imekuwa ni vigumu mawaziri kukutafuta wewe Spika ili uwasaidie na ndio maana wamelidharau Bunge kwa sababu wanajua Mpina hayupo bungeni na hivyo kama kulikuwa na fursa yoyote unaipata kutoka kwa mawaziri umeikosa msimu huu ndio maana una paniki na kuanza kuwafokea kwa utoro bungeni.
Leo sasa bila kujua ndio utaona faida ya wabunge aina ya Mpina ambao wanaibua tuhuma nzito na mawaziri wanakimbilia kwako kuomba msaada wa kumdhibiti bungeni ili wapone sasa leo fursa hiyo umeikosa.
View: https://youtu.be/bEK__Mdc2xw?si=vM5-6FnO8MRpdt5E

Swali dogo kama hili dada akapaniki akajibu ambayo hajaulizwa na kuanza kusema we are not colonised akasahau haohao ndio walimpigia kura kumchagua so wana haki ya kumhoji yeye akajua yupo bunge la CCMWho mandated you to go Russia?
Mbunge wa Iraq
Swali dogo kama hili dada akapaniki akajibu ambayo hajaulizwa na kuanza kusema we are not colonised akasahau haohao ndio walimpigia kura kumchagua so wana haki ya kumhoji yeye akajua yupo bunge la CCM

Walikuwa wabunge wawili walioliza maswali mawili.Mtoa hoja ni mbunge wa Iraq lakini nasikia 'eti' yeye akaishia kushambulia westerners